Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mashabiki tuna kazi sanaHahahaa amesema hataki tena Wanawake, sasa sijui anapenda Wanaume! Amesema pia hana mtoto hata mmoja alio nao sio wa kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki tuna kazi sanaHahahaa amesema hataki tena Wanawake, sasa sijui anapenda Wanaume! Amesema pia hana mtoto hata mmoja alio nao sio wa kwake
Kama spika mzima hana akili full taahira, unategemea huku mtaani kwa kina Abunuwasi hali ikoje?Hata nyinyi mtaomtukana kisandu mnamatatizo ya akili...kisandu ni mgonjwa apewe tiba...cognitive therapy
Mkuu, kwa hoja kama hizi, mimi kwa upande wangu naona kama vile wodi za Hospitali ya Mirembe zinakuhusu. Si bure ulipata madhara ya kiakili pale ulipokuwa kolokoloni kwa muda wa miaka mitatu.Salaamj Wana jf.
Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania.
Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma, zaidi Ni kuwekewa vikwazo vya kuwa maskini na serikali ya Tanzania.
Vyeti nilivyochana Ni pamoja na Elimu ya msingi(Kahama Primary school-1996) kwa jina la utotoni MASHAKA KISANDU. Vyeti vya Elimu ya Sekondari(Kishimba Sekondari-iv, Kahama 2002). Cheti Cha Uandishi wa habari(Royal college of Journalism-2003). Vyeti vya Advanced Sekondari (Tabora Sekondari-Private Candidate-2007 na Kahama sekondari-2008), Cheti za induction course(Chuo Cha ualimu Tabora-2007). Cheti Cha degree ya kwanza Cha Chuo Kikuu Cha Sebastian Kolowa(SEKUCO/SEKOMU)-2012. Vyeti vya vyuo vya Utunzaji wa kumbukumbu. Hivi vyote nilisoma kwa jina Langu la zamani la DEOGRATIUS PIO KISANDU kabla sijaapa nakuwa DEOGRATIUS NALIMI KISANDU. Na haya yote yamefanyika baada ya kuapa na kuwa DON NALIMISON kwa mujibu wa Sheria.
Hivyo Sasa sihitaji Ajira ya Serikali Wala Ajira kwenye makampuni. Serikali ilinifunga jela miaka mitatu 2018-2020 kuonesha elimu yangu haifai. Hivyo nimechana vyeti vyote na kubadili jina jumla Maisha yangu yote na sitasikiliza ushauri wa Majeshi yote Wala ushauri wa Serikali. Nachotaka nikutimiza ndoto zangu kwa jina Langu DJ. DON NALIMISON nasivinginevyo.
Tanzania Ni Nchi chafu Sana, kuanzia viongozi mpaka Majeshi. Wananchi wanapata kiburi Cha kufanya unyama kwangu kupitia Majeshi. Sitaki kupewa jina lolote na serikali maana Ni na uelewa wa kutosha kuliko vigogo wa serikali wasio kuwa na lolote kwangu. Mimi sitishiki na mamlaka ya kijeshi kwani Majeshi ya Tanzania Ni dhaifu Sana Ila huwa na wachora tu mnavyojiona wajanja kumbe mbumbu wa kutupwa.
Leo nimenyimwa kitambulisho Cha Taifa kwa jina Langu la DON NALIMISON eti mpaka nioe TAKATAKA za Serikali na CCM. Mimi najitambua kuliko mitakataka ya CCM. Viongozi CCM wote Ni mbumbu wa kutupwa lakini wanavyojiona wa maana huku hawana Malinda NYUMA ya mapazia yao.
Nimechoma Moto biblia AGANO jipya Mara mbili 2020/2021 baada ya kutambua Yesu sio Mungu Bali Ni mshikaji anayepeleka watu Motoni wakiamini Ni Mungu huku alikuwa mtoto wa usaliti wa kambo wa Yusufu. Mimi sijiungi na Uislamu nako WANAABUDU MAJINI badala ya Mungu. Mungu anaishi rohoni mwangu. Hivyo nimeamua kutimiza ndoto zangu kwa mziki wangu wa HIP-HOP/RNB katika lugha ya kiingereza. Hivyo nimefungua UKURASA MPYA.
Nawatakia Maisha mema wote mnaotegemea vyeti vya taaluma ili muwe na Maisha mazuri maana Mimi Vyeti havijanisaidia.
Wenu,
DJ. DON NALIMISON
View attachment 2009076
[emoji23][emoji23]Vipi lile pini lake ya "i wandi tu kongratuleti yuuu"...kali sana pia..Don alitulia sana paleGo go go go away i don't need you..go go..hili songi nalikubali sana..ujumbe wa leo ungeusindikiza na goma moja matata.
Ila mwanakwetu acha kutukana majeshi au umekumbuka kurudi kitengule.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo Afande Muroto..Hata nyinyi mtaomtukana kisandu mnamatatizo ya akili...kisandu ni mgonjwa apewe tiba...cognitive therapy
Maisha ni mazuri sana...
Na kama ana ubavu aoneshe picha za vyeti alivyovichanachana....Kisandu ni mwekezaji mkubwa katika industry ya upumbavu
Dhihaka uliyomfanyia Yesu ndio umejifungia baraka zako milele pole.Yesu ni zaidi ya unavyomfahamu usimchukulie poa.Salaamj Wana jf.