MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Pole sana Mkuu..Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.