TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

Mvae barakoa na muepuke kusongamana hasa wakati wa kula,maji tiririka yawepo bila kukata,,sanitizer lita 10
 
Mungu awe pamoja nanyi katika kipindi hiki.

1628973737021.gif
 
Pole sana mkuu CONTROLA, kumpoteza mmoja wa wazazi si jambo jepesi.

Mungu azidi kukupa nguvu na imani.
 
Daah pole sana Mkuu. Ingawa nimechelewa kuiona hii ila tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu na cha mpito.
 
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.

Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"

Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.

Nawapenda na Mungu Awabariki.
Pole sana Mkuu.
 
Pole Sana Mkuu
 
Back
Top Bottom