Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Mkuu.Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Pole Sana MkuuHabari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Mrembo gani huyo?Ebu nipe link ya huo uzi nimlipie homeboyNdio kamtapeli mrembo hela yake na kula mbususu ya bure, tafadhali mlipie hyo hela mrembo ni anaye hustle sana
Queen of shebaMrembo gani huyo?Ebu nipe link ya huo uzi nimlipie homeboy
Kuna msiba huyo tapeli queen kajaje tena hapaQueen of sheba