TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

Pole sana Mkuu..
 
Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumui
 
Pole Sasa ndugu yangu CONTROLA tunamuombea mzee wako pumziko jema la milele, tunawaombeeni nanyi uvumilivu mpite salama katika pito hili.
Ajaliwe nuru ya milele na furaha ya milele.
 
Poleni sana! Mwenyezi Mungu awake faraja wakati huu mgumu. Mzee wetu apumzike kwa Amani!
 
Pole sana mdau

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana...

Chukueni tahadhari zote za afya huko msibani, nimeshuhudia watu wakipata "hili dudumizi" kupitia shughuli za misiba kiasi familia moja wanajipata wanaandamwa na misiba isiyokoma...
Muhimu kuichukua hii, watu wanaambukizwa sana misibani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…