Sasa ka alipiga watu fix na hii msiba ukute ni public sympathy tu hapa JF.Aiseee hulazi damu[emoji1787]
Oooh yeahohoo
Mimi nataka nimchangie rambirambiSasa ka alipiga watu fix na hii msiba ukute ni public sympathy tu hapa JF.
Una moyo mkubwa kweli, wewe changa tu, hyo rambirambiMimi nataka nimchangie rambirambi
POle sana ndugu yetu katika JF.Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita ktk kipindi gani.
Nawapenda na Mungu Awabariki.
Nani huyo?!Pole sana ndugu.
Baba yako alikuwa humu JF? Maana kuna member kafariki, ukute ndiyo mzee wako.
controlaHabari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.