TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

Pole sana CONTROLA, pole kwa kupoteza mzazi.
 
Pole sana mkuu, Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.

Vv
 
Ohhhh pole sana CONTROLA
Apumzike salama mzee wako 😇
 
Pole sana mkuu bbysky, poleni familia na Mwenyezi Mungu awape nguvu kipindi hiki mnachopitia
 
Pole Sana mkuu....It's painful...Baba apumzike kwa amani.....
 
Madalali wa chanjo huwa hamchelewi kutupia nyavu.

Wewe hujui wala hujaelezwa kuhusu kilichomuua mzee lakini tayari ushaanza kuimba mashairi ya corona!

Nyie madalali wa chanjo ni wendawazimu kweli kweli.

Ujue steve nyerere leo ameteuliwa kua balozi wa chanjo ya uviko na atazunguka nchi nzima kuhamasisha chanjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…