Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

Suala la fedha za join the chain litawachafua sana cdm. Huyu ni kiongozi mwingine wa cdm anashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu fedha za join the chain.
Afadhali wewe umeliona hilo, huwezi kumpangia muendesha kipindi maswali ya kukuhoji, tena inatakiwa umuache alipange swali lake vizuri akuulize mpaka mwisho ndipo uanze kujibu.
 
uT
Wewe utakuwa CCM, ndio wasiopenda ukweli, unafiki unafiki ndiyo sera yao. Blue is blues not otherwise!
Achana na mambo ya mama ametoa fedha, sema serikali imetoa fedha!
 
uT

Wewe utakuwa CCM, ndio wasiopenda ukweli, unafiki unafiki ndiyo sera yao. Blue is blues not otherwise!
Achana na mambo ya mama ametoa fedha, sema serikali imetoa fedha!
Wewe siyo Retired Bali ni Tired.

Nitukane matusi yote nitavumilia lakini kuniita Mimi CCM ni kunikosea adabu Sana.
 
Hawa CCM ni wakuda yaani ukikusanya uvccm wote bara na visiwani ukawaongeza nape,mwigulu, January, Bashe,bashite na wengine hesabu mpaka 50 huwezi kumpata Lema hii ni asset kubwa kwa chadema na CCM wanajua ila wanajitahidi kudanganya .cc sio pimbi tunajielewa.
 
Lema yuko vizuri kichwani, Lema is well organized upstairs! Higher power of reasoning!
Mkuu...

Tofautisha mtu mwenye karama ya uongeaji na mtu mwenye uwezo wa kureason kimantiki...

Lema namfananisha na Livingstone Lusinde wa CCM...

Ni watoa taarifa, kichwani hamna kitu kabisa...

Hana uwezo wa kufanya mdahalo ukaleta maana ila ana uwezo mzuri wa kuzungumza.
 
Dah, PhD wazo lako ni zuri mno, lakini umekosea kitu kimoja tu; hivi Lema na Sugu ni vijana?! Au wewe una umri gani? Au umri ni relative term factor? Kama ni hivyo, basi uko sawa. Zamani watu walikuwa wanaishi mpaka umri wa miaka 700, kwahiyo mtu mwenye umri wa miaka 85:aliitwa kijana!
 
Wewe siyo Retired Bali ni Tired.

Nitukane matusi yote nitavumilia lakini kuniita Mimi CCM ni kunikosea adabu Sana.
Umenena! samahani basi..... CCM ni vioja. sasa kila kitu wanasingizia MVUA! ...umeme, maji kukosekana, sukari , mchele, mafuta kupanda..............kila kitu wanasingizia mvua zinazonyesha sasa! Ukiwa na watu kama hao...unajuta kuzaliwa!
Obbiter: I am a retired senior citizen, a UDSM graduate of 1983!
tizo ni kuwa watanzania hawakuzoea naked truth! tumelelewa kwenye kulemba lugha. Lema is not a man of that nature na hicvyo utamuona kama ulivyomuelezea
 
Ila ni wazi Lema ana akili kuliko wapumbavu wengi waliojazwa na ccm pale Bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…