Nimefuatilia mtiririko wa visa, ni wazi kuwa Ndugai aliota mapembe na alikuwa akimdharau sana Rais Samia

Kwani JPM alipokopa aliwekwa mfukoni kwake?kazi ilionekana, na ubabe wake ulimsaidia kuchapa kazi.
 
Mpumbavu Sana haki ya nan huyu jamaa lazima tumtoe hawez kumdharau mama kias kile
 
Apigwe tu risasi 16,kwani tatizo liko wapi jamani? Mbona kazi ni ndogo sana. Jiwe aliweza Samia anafeli wapi? Na asipelekwe nje ya nchi kwenye matibabu bila kibali mpaka aanzie mhimbili national hospital.
 
 
Ndugai anadharau wanawake. Anawaona hawana akili, kazi yao ni kutoa burudani kitandani
 
Naunga mkono hoja

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wazanzibar hamuwezi kusema kero za muungano kwa sasa maana mama anapora vya bara anawletea. Siku ipo madeni mtayalipa tu
 
Kuna watu hawajui tofauti ya mikopo kutoka mabenki ya kibiashara na mikopo kutoka WB, IMF, AfDB etc.
 
Khadija kopa anasubiri [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa msiojua Ndugai alianza kuidai Serikali itekeleze mradi wa Bandari ya Bagamoyo anzia mwaka 2019 kipindi hichi bado Magufuli hajafariki, kwaiyo nyie semen kuwa hamtaki kusikia mawazo mengine


wanatafuta kichaka wanasahau mama kapoteza kabisa ushawishi nayeye anafahamu.

ndugai kaanza kumjaribu jpm kwenye hili la bwawa,na hakuiwahi kuomba msamaha.

majitu sijui yanawaza kitu gani.
 
Umeandika kwa ushahidi,hata mimi nilikuwanafuatilia matamshi yake ya mwanzo hadi ya mwisho ana chuki sana na Samia,hakupenda awe rais.Ndugai ni muhaini
 
Hapo ndipo myopia inapokuja. Tafuta uzi unaosema "Serikali inapokopa kulilpa madeni, ni maendeleo?", utaelewa kinachozungumziwa.
 
Ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…