Hatumkubali spika kutokana na jinsi alivyoendesha bunge kibabe na kuendelea kuwalipa wabunge wasio na chama kodi zetu ila HojA yake ina mashiko lazima tuijadili na tupate majibu sahihiUkweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P)
pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya zile zilizotegemewa na hasemi,
Kipindi cha JPM mikopo mingi ilikopwa bila kuidhinishwa na bunge, miradi mingi ilifanyika bila kupitishwa na bunge, sikuwai kusikia hata sikumoja ndugai anasemea haya zaidi tu ni kuwa wapinzani walikua wakiibua hizi hoja anawazima,
Ndugai alimtii sana JPM na alimuheshimu kama Rais kamili
Tatizo lilikuja tu alipoapishwa Rais mwanamke, nafikiri hapa tatizo ni jinsia
Ndugai alianza kuota mapembe nakumbuka mtiririko wa visa Ndugai mbele ya hadhara na Media anasema "mwanamke ni mwanamke tu, huwezi kujilinganisha na mwanaume, unaenda kila sehemu unajisema wewe ni mwanamke kwani nani hajui? " hapa ni dhahiri kabisa Job alimlenga Rais na ukifuatilia clip ile ni wazi kabisa alikuwa akimteta Samia Suluhu.
Mbali na hilo nakumbuka siku ya kupokea fedha za uviko ile hafla Ndugai alipopewa nafasi ya kuongea ni kama vile alikuwa anafokea watu, Ndugai alikuwa akilalamika waliopanga ujenzi wa madarasa wapange kulingana na idadi ya watu wa kwenye majimbo, ni kweli kauli yake ilikuwa na mantiki lakini kwa namna alivyoongea ni kama vile alikuwa anafokea watu, imagine Sehemu ambayo na Rais yupo unaongea kama unafokea watu as if wewe ndio kiongozi mkuu upo unahutubia watoto, nilijiuliza sana siku ile ila nikanyamaza,
Hii ya kuhusu mkopo wa juzi huyu Job inawezekana alichoongea kina mantiki lakini ni kwa namna gani alikiwasilisha, alikuwa anamfokea nani pale? Ni kama vile alikuwa anamfokea aliyefuata huo mkopo, na kwanini ahusishe mkopo ule na uchaguzi wa 2025? kwanini aliwahii kisema uchaguzi wa 2025 tutaamua wenyewe?
Aisee itoshe tu kusema Ndugai aliota mapembe akaanza kujiona yeye ndio mkuu wa nchi Ndugai hana uchungu wowote na nchi hii isipokua hamataki Rais Samia, na hamtaki kwasababu ni mwanamke kiufupi Ndugai ana dharau hafai kuendelea kuwa spika wa Bunge amekosa heshima
Afukuzwe iwe fundisho kwa wote wenye dharau za kijinga
Anachofanya ni uhaini, Afukuzwe bila kuonewa haya angekuwa na uchungu na hii nchi asingeacha JPM akaenda kukopa mikopo ya kibiashara tena ya muda mfupi, angalia leo hii hata reli ya SGR haijakamilika lakini mikopo yake imeshaanza kurejeshwa tena na Riba juu, Ndugai alikuwa halijui hilo? Ndugai anajua nchi inapoteza shingapi kwa kuwalipa wabunge wasio na vyama? Ana uchungu gani na hii nchi huyu mtu analeta chuki zake binafsi dhidi ya Rais
Nataka kumwambia Job acheze na wabunge wake huko Taasisi ya Urais aachane nayo, dharau zake apelekee wagogo huko
Mama atakuwa amevumilia sana madhara ya mfumo dume kwa muda wote tangu kuapishwa kwake kuwa makamu wa rais. Atakuwa kavumilia dharau za kila aina kutoka kwa wasaidizi wake na wote wanaomzunguka.Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P)
pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya zile zilizotegemewa na hasemi,
Kipindi cha JPM mikopo mingi ilikopwa bila kuidhinishwa na bunge, miradi mingi ilifanyika bila kupitishwa na bunge, sikuwai kusikia hata sikumoja ndugai anasemea haya zaidi tu ni kuwa wapinzani walikua wakiibua hizi hoja anawazima,
Ndugai alimtii sana JPM na alimuheshimu kama Rais kamili
Tatizo lilikuja tu alipoapishwa Rais mwanamke, nafikiri hapa tatizo ni jinsia
Ndugai alianza kuota mapembe nakumbuka mtiririko wa visa Ndugai mbele ya hadhara na Media anasema "mwanamke ni mwanamke tu, huwezi kujilinganisha na mwanaume, unaenda kila sehemu unajisema wewe ni mwanamke kwani nani hajui? " hapa ni dhahiri kabisa Job alimlenga Rais na ukifuatilia clip ile ni wazi kabisa alikuwa akimteta Samia Suluhu.
Mbali na hilo nakumbuka siku ya kupokea fedha za uviko ile hafla Ndugai alipopewa nafasi ya kuongea ni kama vile alikuwa anafokea watu, Ndugai alikuwa akilalamika waliopanga ujenzi wa madarasa wapange kulingana na idadi ya watu wa kwenye majimbo, ni kweli kauli yake ilikuwa na mantiki lakini kwa namna alivyoongea ni kama vile alikuwa anafokea watu, imagine Sehemu ambayo na Rais yupo unaongea kama unafokea watu as if wewe ndio kiongozi mkuu upo unahutubia watoto, nilijiuliza sana siku ile ila nikanyamaza,
Hii ya kuhusu mkopo wa juzi huyu Job inawezekana alichoongea kina mantiki lakini ni kwa namna gani alikiwasilisha, alikuwa anamfokea nani pale? Ni kama vile alikuwa anamfokea aliyefuata huo mkopo, na kwanini ahusishe mkopo ule na uchaguzi wa 2025? kwanini aliwahii kisema uchaguzi wa 2025 tutaamua wenyewe?
Aisee itoshe tu kusema Ndugai aliota mapembe akaanza kujiona yeye ndio mkuu wa nchi Ndugai hana uchungu wowote na nchi hii isipokua hamataki Rais Samia, na hamtaki kwasababu ni mwanamke kiufupi Ndugai ana dharau hafai kuendelea kuwa spika wa Bunge amekosa heshima
Afukuzwe iwe fundisho kwa wote wenye dharau za kijinga
Anachofanya ni uhaini, Afukuzwe bila kuonewa haya angekuwa na uchungu na hii nchi asingeacha JPM akaenda kukopa mikopo ya kibiashara tena ya muda mfupi, angalia leo hii hata reli ya SGR haijakamilika lakini mikopo yake imeshaanza kurejeshwa tena na Riba juu, Ndugai alikuwa halijui hilo? Ndugai anajua nchi inapoteza shingapi kwa kuwalipa wabunge wasio na vyama? Ana uchungu gani na hii nchi huyu mtu analeta chuki zake binafsi dhidi ya Rais
Nataka kumwambia Job acheze na wabunge wake huko Taasisi ya Urais aachane nayo, dharau zake apelekee wagogo huko
JPM kwa miaka mitano na miezi mitatu alikopa trilioni 29.3 Ndugai akawa kimya kabisa kama haoni kinachoendelea.Hapo ndipo mnapokosea kuangalia nani kasema badala ya nini amesema. Kubeba uchungu na kufurahia kwa misingi ya visasi, hakutakuondoleeni dhiki ya makosa yanayofanyika kama yapo.
CCM walipinga kila kilichosemwa bungeni na wapinzani, wakipigia makofi kila hoja ya serikali matokeo yake wamejikuta wako chaka, wanaanza kutoana macho wkati wamechelewa.
Ninaomba tujikite kujadili hoja ya Ndugai, hayo makosa yake yapo tu na yanaweza kujadiliwa lakini tusi nullify hoja nzito na za msingi na zenye maslahi kwa taifa eti tu kwa vile aliyesema ni mtu tuliye na uchungunaye. Haitupeleki kokote.
Ushabiki wa kufuata mikumbo ama misimamo ya kisiasa haina tija linapokuja suala la mustakabari wa Taifa. Vinginevyo hatutakuwa tofauti na mafisadi wa ccm.
pengine kuna kalaana sehemu pia.Alimwona mwendazake kama Mungu wake...
Ikulu ilikuwa kama nyumbani kwake...
Hakuna shughuli aliyoifanya Mwendazake, mgogo asiwepo.
Alipoingia mama akakata mguu kutinga ikulu. Akianza kuikandya serikali kiaina.
Siku akauliza siku hizi mbona watu wa serikali hawaonekani Dodoma. ... hili lilikuwa dongo la kwanza kabisa kwa mama....
Baadae ile kauli "haina haja ya kusema mimi mwanamke, tunajua wewe ni mwanamke".... dongo la pili mama katulia tu
Sasa hili la mikopo.... wakati awamu zote zilizopita walikopa na mgogo nakusoma kitu... mama akaona isiwe tabu
Akamtengenezea bonge la taarab.... mgogo kachemka kuicheza kaenda zake kutulia nyumbani
Taarab la Samia, Khadija Kopa anasubiri sana.
Tena vyomba vya dola inatakiwa vimtie nguvuni ataje kikundi Cha wahaini wenzie, wasitake kutuharibia Tanzania yetu wapuuzi hawaUkweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P).
pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya zile zilizotegemewa na hasemi,
Kipindi cha JPM mikopo mingi ilikopwa bila kuidhinishwa na bunge, miradi mingi ilifanyika bila kupitishwa na bunge, sikuwai kusikia hata sikumoja ndugai anasemea haya zaidi tu ni kuwa wapinzani walikua wakiibua hizi hoja anawazima,
Ndugai alimtii sana JPM na alimuheshimu kama Rais kamili
Tatizo lilikuja tu alipoapishwa Rais mwanamke, nafikiri hapa tatizo ni jinsia
Ndugai alianza kuota mapembe nakumbuka mtiririko wa visa Ndugai mbele ya hadhara na Media anasema "mwanamke ni mwanamke tu, huwezi kujilinganisha na mwanaume, unaenda kila sehemu unajisema wewe ni mwanamke kwani nani hajui? " hapa ni dhahiri kabisa Job alimlenga Rais na ukifuatilia clip ile ni wazi kabisa alikuwa akimteta Samia Suluhu.
Mbali na hilo nakumbuka siku ya kupokea fedha za uviko ile hafla Ndugai alipopewa nafasi ya kuongea ni kama vile alikuwa anafokea watu, Ndugai alikuwa akilalamika waliopanga ujenzi wa madarasa wapange kulingana na idadi ya watu wa kwenye majimbo, ni kweli kauli yake ilikuwa na mantiki lakini kwa namna alivyoongea ni kama vile alikuwa anafokea watu, imagine Sehemu ambayo na Rais yupo unaongea kama unafokea watu as if wewe ndio kiongozi mkuu upo unahutubia watoto, nilijiuliza sana siku ile ila nikanyamaza,
Hii ya kuhusu mkopo wa juzi huyu Job inawezekana alichoongea kina mantiki lakini ni kwa namna gani alikiwasilisha, alikuwa anamfokea nani pale? Ni kama vile alikuwa anamfokea aliyefuata huo mkopo, na kwanini ahusishe mkopo ule na uchaguzi wa 2025? kwanini aliwahii kisema uchaguzi wa 2025 tutaamua wenyewe?
Aisee itoshe tu kusema Ndugai aliota mapembe akaanza kujiona yeye ndio mkuu wa nchi Ndugai hana uchungu wowote na nchi hii isipokua hamataki Rais Samia, na hamtaki kwasababu ni mwanamke kiufupi Ndugai ana dharau hafai kuendelea kuwa spika wa Bunge amekosa heshima
Afukuzwe iwe fundisho kwa wote wenye dharau za kijinga
Anachofanya ni uhaini, Afukuzwe bila kuonewa haya angekuwa na uchungu na hii nchi asingeacha JPM akaenda kukopa mikopo ya kibiashara tena ya muda mfupi, angalia leo hii hata reli ya SGR haijakamilika lakini mikopo yake imeshaanza kurejeshwa tena na Riba juu, Ndugai alikuwa halijui hilo? Ndugai anajua nchi inapoteza shingapi kwa kuwalipa wabunge wasio na vyama? Ana uchungu gani na hii nchi huyu mtu analeta chuki zake binafsi dhidi ya Rais
Nataka kumwambia Job acheze na wabunge wake huko Taasisi ya Urais aachane nayo, dharau zake apelekee wagogo huko
Sio tu mnafiki,huyo ni muhaini kabisaJPM kwa miaka mitano na miezi mitatu alikopa trilioni 29.3 Ndugai akawa kimya kabisa kama haoni kinachoendelea.
SSH amekopa trilioni 1.3 Ndugai anaanza masimango kama vile hakuona kilichofanyika kuanzia 2015-2021 February. Huo ndio unafiki wenyewe.
Anamdharau Sana Rais, kujiuzulu pekee hakutoshi, Kuna jinai pia inamuhusu,alichofanya kwasisi wakongwe Kuna kila dalili za uhainiHauhitaji Phd kutambua kwamba Ndugai hampendi mama. Anamchukia kisa tu ni Mwanamke. Huyu si wa kucheka nae huyu.Ajiuzulu tu
Nyie ndio mnapaka mafuta samia kwa mgongo wa chupa huku mkimng'ong'a kwa dharau. Kinachowafanya msiropoke ni kutanguliza tumbo tu. Si ndio nyie mnasema hamumtaki mzanzibari atawale bara? Si ndio nyie mlioanza kutengeneza timu za 2025 mkiongozwa na yule mkuu wenu wa kusini? Tena kuna yule kiherehere alivyosikia jobu anajiuzuru akajifanya anamuwahi kumwambia. Tunawajua nyie wachumia tumbo vizuri kuliko mnavyojijua😂😂😂Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P).
pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya zile zilizotegemewa na hasemi,
Kipindi cha JPM mikopo mingi ilikopwa bila kuidhinishwa na bunge, miradi mingi ilifanyika bila kupitishwa na bunge, sikuwai kusikia hata sikumoja ndugai anasemea haya zaidi tu ni kuwa wapinzani walikua wakiibua hizi hoja anawazima,
Ndugai alimtii sana JPM na alimuheshimu kama Rais kamili
Tatizo lilikuja tu alipoapishwa Rais mwanamke, nafikiri hapa tatizo ni jinsia
Ndugai alianza kuota mapembe nakumbuka mtiririko wa visa Ndugai mbele ya hadhara na Media anasema "mwanamke ni mwanamke tu, huwezi kujilinganisha na mwanaume, unaenda kila sehemu unajisema wewe ni mwanamke kwani nani hajui? " hapa ni dhahiri kabisa Job alimlenga Rais na ukifuatilia clip ile ni wazi kabisa alikuwa akimteta Samia Suluhu.
Mbali na hilo nakumbuka siku ya kupokea fedha za uviko ile hafla Ndugai alipopewa nafasi ya kuongea ni kama vile alikuwa anafokea watu, Ndugai alikuwa akilalamika waliopanga ujenzi wa madarasa wapange kulingana na idadi ya watu wa kwenye majimbo, ni kweli kauli yake ilikuwa na mantiki lakini kwa namna alivyoongea ni kama vile alikuwa anafokea watu, imagine Sehemu ambayo na Rais yupo unaongea kama unafokea watu as if wewe ndio kiongozi mkuu upo unahutubia watoto, nilijiuliza sana siku ile ila nikanyamaza,
Hii ya kuhusu mkopo wa juzi huyu Job inawezekana alichoongea kina mantiki lakini ni kwa namna gani alikiwasilisha, alikuwa anamfokea nani pale? Ni kama vile alikuwa anamfokea aliyefuata huo mkopo, na kwanini ahusishe mkopo ule na uchaguzi wa 2025? kwanini aliwahii kisema uchaguzi wa 2025 tutaamua wenyewe?
Aisee itoshe tu kusema Ndugai aliota mapembe akaanza kujiona yeye ndio mkuu wa nchi Ndugai hana uchungu wowote na nchi hii isipokua hamataki Rais Samia, na hamtaki kwasababu ni mwanamke kiufupi Ndugai ana dharau hafai kuendelea kuwa spika wa Bunge amekosa heshima
Afukuzwe iwe fundisho kwa wote wenye dharau za kijinga
Anachofanya ni uhaini, Afukuzwe bila kuonewa haya angekuwa na uchungu na hii nchi asingeacha JPM akaenda kukopa mikopo ya kibiashara tena ya muda mfupi, angalia leo hii hata reli ya SGR haijakamilika lakini mikopo yake imeshaanza kurejeshwa tena na Riba juu, Ndugai alikuwa halijui hilo? Ndugai anajua nchi inapoteza shingapi kwa kuwalipa wabunge wasio na vyama? Ana uchungu gani na hii nchi huyu mtu analeta chuki zake binafsi dhidi ya Rais
Nataka kumwambia Job acheze na wabunge wake huko Taasisi ya Urais aachane nayo, dharau zake apelekee wagogo huko
Mkuu achana hao sukuma gang washenzi,unapoteza nguvu bure hata shetani hakosi watetezi.Ndugai anahoja zipi za kijinga zile?
sasaivi kuna mikopo iko matured na haikukopwa na Rais samia, Rais anachokifanya anachukua mikopo isiyo na Riba na anaenda kulipa kwenye hiyo yenye Riba
hivi zaidi ya hilo mlitaka afanyeje? hii nchi haiwezi kulipa madeni na bado ikatumia fedha za ndani kuendeleza miradi, akifanya hivyo atashindwa hata kulipa mishahara ya watumishi,
sasabkipi bora akope mikopo ya kibiashara kama JPM au akope mikopo isiyo na riba?