Huwezi muelewaLisu simuelewi katika hilii...
Mtaalamu wa Sheria za mikataba badala uchambue mkataba unatumia dakika tatu knaongea upuuzi kama huo.
Kusema mkataba ni WA hovyo bila justification ni upumbavu mtupu na ndio maana JPM alimfanyia kazi.
Asuburi aone wale wenzake waliopeleka kesi mahakamani kimihemko watakavyoangukia pia.
Hivi maana ya upinzani ni kupinga kila kitu?
Mbona wenzetu hata waliotuletea vyama vingi ikifika issue ya kitaifa wanaungana?
Ni ngumu kuwaelewa hawa watuSifa ya presidential material ni lazima uwe mwizi na fisadi kama wengine ?
Unahakika kwamba tundu lisu sio mwizi?Sifa ya presidential material ni lazima uwe mwizi na fisadi kama wengine ?
Ndiyo tunaendelea.Huwezi pendwa na wote na mnaoendelea kumpenda hayati endeleeni ngoja sisi twenda na Lissu
Alikuibia mke au ?Unahakika kwamba tundu lisu sio mwizi?
Tundiu Lissu awe Rais wa [emoji1241]!!!Habari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.
View attachment 2671785
Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.
JMTTundiu Lissu awe Rais wa [emoji1241]!!!
Never ever
Tundu Lissu ndio Deal kwa sasa hata Deep State inajua hilo.......sema tu basiHabari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.
View attachment 2671785
Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.
Sukuma Gang sahauni kutawala nchi hii.Habari,

Kaburi!? Ushamba huo acheni.Tundu Lisu akitubu na kwenda Chato kumlilia Magufuli kwenye kaburi lake ,tutamkubali
Who are you ?
Acha kudharau watu
We will be back with TL
Kitendo Cha kumkubali Magufuli ni zaidi ya kuomba msamaha.Tundu Lisu akitubu na kwenda Chato kumlilia Magufuli kwenye kaburi lake ,tutamkubali
HakikaKitendo Cha kumkubali Magufuli ni zaidi ya kuomba msamaha.
Kma vile naanza kuona hii kitu jamaa alikusoma na kukuelewqTundu Lisu akitubu na kwenda Chato kumlilia Magufuli kwenye kaburi lake ,tutamkubali