- Thread starter
- #101
Huwezi muelewaLisu simuelewi katika hilii...
Mtaalamu wa Sheria za mikataba badala uchambue mkataba unatumia dakika tatu knaongea upuuzi kama huo.
Kusema mkataba ni WA hovyo bila justification ni upumbavu mtupu na ndio maana JPM alimfanyia kazi.
Asuburi aone wale wenzake waliopeleka kesi mahakamani kimihemko watakavyoangukia pia.
Hivi maana ya upinzani ni kupinga kila kitu?
Mbona wenzetu hata waliotuletea vyama vingi ikifika issue ya kitaifa wanaungana?