Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

Lissu habebeki hata kwa kanga ya chuma. Mdomo wake ndio unaomponza yueye na wote wanaotaka kumuunga mkono.
 
Tundu Lissu HAWEZI kamwe kumkubali mtu aliyetaka KUMTOA UHAI wake kwa rosasi 16 alizomiminiwa mwilini.

Kama ametumia jina Magufuli kwenye maneno yake basi ametumia ili kujenga hoja anayotaka kuifikisha kwenye hadhira aliyoilenga
Ungana na Lissu kwenda CHATO kutubu na kukiri UZALENDO wa Magu 🙏🙏
 
🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo mmewaona Wasukuma ni wajinga na wamesahau matusi yenu?
 
Hii nchi inahitaj raisi aliye stable kichwani,msomi mzuri siyo vyeti vya unga unga,mwenye maamuzi na mwenye uelewa mkubwa wa dunia na aliye neutral.
hili tutusu tulilo nalo kwenye ofisi ni mzigo...ni matope yamemjaa kichwani.
 
Thubutu, labda kura za KkKT ziwatoshe.

Hao maaskofu wakikatoliki wanaowachekea sasa hivi, barua moja tu kutoka vatikano wanawageuka.
 
Thubutu, labda kura za KkKT ziwatoshe.

Hao maaskofu wakikatoliki wanaowachekea sasa hivi, barua moja tu kutoka vatikano wanawageuka.
Tangia utete uuzwaji wa nchi, hapa jukwaani members hawana hamu na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…