Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UhakikaMwamba TL
Lissu habebeki hata kwa kanga ya chuma. Mdomo wake ndio unaomponza yueye na wote wanaotaka kumuunga mkono.Habari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.
View attachment 2671785
Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.
hii picha aisee ni wenyewe, sijui ilipigwa wapi. hapo wakifika dukani kununua simu zinazouzwa laki mbili, wanakwambia naomba hiyo simu ya laki tano. unampa, anakupa mpunga anasepa. tukiacha utani, kiukweli kwa mkataba huu, sa100 ametukosea sana na itabaki historia hivyo.
Seen2025
Uhakika
Ungana na Lissu kwenda CHATO kutubu na kukiri UZALENDO wa Magu 🙏🙏Tundu Lissu HAWEZI kamwe kumkubali mtu aliyetaka KUMTOA UHAI wake kwa rosasi 16 alizomiminiwa mwilini.
Kama ametumia jina Magufuli kwenye maneno yake basi ametumia ili kujenga hoja anayotaka kuifikisha kwenye hadhira aliyoilenga
🤣🤣🤣Habari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.
View attachment 2671785
Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.
Mkuniruhusu kwenda kwenye kaburi la dikteta nitakunya mavi kaburiniUngana na Lissu kwenda CHATO kutubu na kukiri UZALENDO wa Magu 🙏🙏
hili tutusu tulilo nalo kwenye ofisi ni mzigo...ni matope yamemjaa kichwani.Hii nchi inahitaj raisi aliye stable kichwani,msomi mzuri siyo vyeti vya unga unga,mwenye maamuzi na mwenye uelewa mkubwa wa dunia na aliye neutral.
Tangia utete uuzwaji wa nchi, hapa jukwaani members hawana hamu na weweThubutu, labda kura za KkKT ziwatoshe.
Hao maaskofu wakikatoliki wanaowachekea sasa hivi, barua moja tu kutoka vatikano wanawageuka.
Mtaje mmoja mwenye hizo sifa.Hii nchi inahitaj raisi aliye stable kichwani,msomi mzuri siyo vyeti vya unga unga,mwenye maamuzi na mwenye uelewa mkubwa wa dunia na aliye neutral.
Karibu Afande mstaafu!!Mkuniruhusu kwenda kwenye kaburi la dikteta nitakunya mavi kaburini
Akili za wapi hizi ?Mkuniruhusu kwenda kwenye kaburi la dikteta nitakunya mavi kaburini
Tanzania iliyo huruAkili za wapi hizi ?