mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Everything is possible under the sun ☀️ !Have you Asked Yourself:-
1) Under Which Electoral Commission !?
2) And Perhaps Under Which Constitution !?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Everything is possible under the sun ☀️ !Have you Asked Yourself:-
1) Under Which Electoral Commission !?
2) And Perhaps Under Which Constitution !?
Duh 🙄 !!!Uncle Kulwa Jilala ashageuka naye anamtaka Lissue, wakati CCM tuna watu nguli kama, Lusinde, Phd Msukuma, Deo Sanga, Mwijaku, Tivu ake, Maulidi Kitenge, Zembwela.
Tundu Lissu has lost the positive rating in Lake zone and will stumble as he keeps on trading nuisance with the real patriotic citizensHabari,
Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu.
Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli.
View attachment 2671785
Binafsi nimemfuatilia kwa muda mrefu/ nimejiridhisha na kukubaliana na Baadhi ya wazalendo kwamba twende na Tundu Lissu 2025 popote alipo.
TAL is dying horse hind kicking everywhere he anticipates appealing for political support from 'Wananchi' without considering the subsequent repercussions would backfire on his moral integrity.Hahahah leo kawaambia magufuli alikutwa na dola milioni 42 nyumbani kwake baada ya kufariki je bado sukuma gang tunaenda na Tundu Lissu?
shinyanga, simiyu, mara wanamuunga mkono, siasa hubadilikabadilikaTundu Lissu has lost the positive rating in Lake zone and will stumble as he keeps on trading nuisance with the real patriotic citizens
the new political pattern has changed. Have a new look to TAL in CHADEMA election pre seasonTAL is dying horse hind kicking everywhere he anticipates appealing for political support from 'Wananchi' without considering the subsequent repercussions would backfire on his moral integrity.