Nimefuatilia sana sijawahi kuona kijana wa CHADEMA kwenye mabanda ya kubeti na kamari

Nimefuatilia sana sijawahi kuona kijana wa CHADEMA kwenye mabanda ya kubeti na kamari

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Hii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko?

Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza?

Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na maendeleo kwenye mabanda ya kubeti, kamali na bahati nasibu.

Hawa wanafundishwa na kuelimishwa na nani?

Natamka wazi kuwa Chadema imejijengea hazina kubwa ua viongozi waadilifu hapo baadae.
 
Sawa wasiwepo ila kuwang'oa CCM ni jambo jingine labda wamfufue Nyerere mwenyewe aje awape uongozi wa nchi bila hivyo wasahau,
 
Sio kweli kwanza ni mambo private, halafu wale wanaoenda mabandani hawaendi na nguo za chama
 
Hii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko?

Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza?

Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na maendeleo kwenye mabanda ya kubeti, kamali na bahati na sibu.

Hawa wanafundishwa na kuelinishwa na nani?

Natamka wazi kuwa Chadema imejijengea hazina kubwa ua viongozi waadilifu hapo baadae.
Kwani vijana wa chadema ni wangapi, nipe idadi tafadhari!

Maana unaweza kuwa unafuatilia kujua wanacheza kamali au hawachezi na kumbe hawapo kabisa yaani
 
Back
Top Bottom