- Thread starter
- #41
Kuna wataalam.wa kubeti huko thread imewagusa wanasanda.Hata CCM wanalijua hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wataalam.wa kubeti huko thread imewagusa wanasanda.Hata CCM wanalijua hilo
Mkuu ktk kufanya research kuna mbinu mbali mbali za kuwatambua identitt yao.Huwa unapita kuwauliza au vigezo vya kuingia ku bet ni kuvaa sare ya chama. Are you okay upstairs?
Kwenye viroba jeeKama hawaendi kubeti sio rahisi kuwakuta kwenye pombe chafu hizo
HuwakutiKwenye viroba jee
Hata ukienda pale Rau Madukani hutawaona wanacheza kamari😄Nenda vibanda vya mbege pale Mwenge
Unfortunately hao hao unaowadharau ndio wapiga KuraHii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko?
Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza?
Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na maendeleo kwenye mabanda ya kubeti, kamali na bahati nasibu.
Hawa wanafundishwa na kuelimishwa na nani?
Natamka wazi kuwa Chadema imejijengea hazina kubwa ua viongozi waadilifu hapo baadae.
SureKuna wataalam.wa kubeti huko thread imewagusa wanasanda.
Ndio mzimu wa Nyerere hauwezi kuwaachia nyinyi mchukue nchi hata iweje,
Basi wewe ekumbe unabeti kijanja na kiakili sana. Unaona vijana wa Mwenyekiti mlivyo na akili.Nakuunga mkono kwamba hawaendi huko hata bar pia huwez kuwakuta lakini haimaanishi kuwa hatubet au hatutumii vilevi,
Kwa mfano mimi huwez kunikuta kwenye kijiwe cha kahawa wala kweny vibanda vya kamari lakini nabet kwenye simu, pia sio kwamba sinywi pombe, nakunywa lakini nanunua nakuja kunywa kwangu.
Wewe ndio umesema
Hehehee unajitekenya unacheka mwenyewe. All you mentioned is home forhizi ndio sehemu ccm huta wakuta vijana:
*vijiwe vya kahawa
*kusubiri kukusanywa kwenye matawi yao ya ccm
*makundi ya machawa mifano tunayo
*kwanza wana akili ndogo na wepesi kujitenga
kama unataka kuamini subiri 2025
Sema neno japo moja tuMm napita
Mtu akishakufa amekufa acha kufikiri kama mtu asiye na Akili.
Huyo Nyerere kama angekuwa ananguvu uisemayo pasingekuwa na mafisadi wanayoichezea nchi waitakayo.
Ikiwa hutakiwi kumuamini mwanadamu aliyehai sembuse mtu aliyekufa ambaye hawezi haya kujigeuza yeye mwenyewe?
Tumia Akili
Pale akina Adamoo na Khalfan Mbwire walipita kula kwa Mama ntilie wakiwa na mishe zao tu.Hata ukienda pale Rau Madukani hutawaona wanacheza kamati😄
Ila kwenyematusiiii duuuuuuhHuwakuti