Uzi tyrNatamka wazi kuwa Chadema imejijengea hazina kubwa ua viongozi waadilifu hapo baadae.
Huu ukweli unathibitika ukiwa mitaa ya uswazi na kwa wananchi wenyewe. Zunguka mtaani kwako uwahoji vijana.Uzi tyr
😅😅sijasema hivyo. Ila jarubu kufatilia hata wewe mwenyeweMkuu kwaiyo tunapoenda kubeti unakuta tumevaa sare za chama😅
Hayo umesema wewe.Sawa wasiwepo ila kuwang'oa CCM ni jambo jingine labda wamfufue Nyerere mwenyewe aje awape uongozi wa nchi bila hivyo wasahau,
Mfufueni Nyerere ndio ameshika mzizi wa Nchi hii awape nchi bila hivyo sahauni kuhusu hilo.Hayo umesema wewe.
😅😅😅ineonekana una amini sana mambo ya mizimuMfufueni Nyerere ndio ameshika mzizi wa Nchi hii awape nchi bila hivyo sahahuni kuhusu hilo,
Huko pia wamejaa wazee wa KijaniNenda.vibanda vya mbege pale Mwenge
Ndio mzimu wa Nyerere hauwezi kuwaachia nyinyi mchukue nchi hata iweje,😅😅😅ineonekana una amini sana mambo ya mizimu
Hapa Mbegeni Mwenge ni Bavicha watupu bwasheeHuko pia wamejaa wazee wa Kijani
Uongo mtupu. Sitashangaa na wewe ukiwa kwenye mabanda ya kubetiHapa Mbegeni Mwenge ni Bavicha watupu bwashee
Upuuzi huo peleka Lumumba. Huku kwa watu wenye akili unapoteza mudaNdio mzimu wa Nyerere hauwezi kuwaachia nyinyi mchukue nchi hata iweje,
Ndio imekua hivyo mkitaka mfufueni Nyerere hamuwezi sahauni kuhusu kuongoza hii Nchi,Upuuzi huo peleka Lumumba. Huku kwa watu wenye akili unapoteza muda
Endelea kubishaUongo mtupu. Sitashangaa na wewe ukiwa kwenye mabanda ya kubeti
Kwani vijana wa chadema ni wangapi, nipe idadi tafadhari!Hii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko?
Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza?
Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na maendeleo kwenye mabanda ya kubeti, kamali na bahati na sibu.
Hawa wanafundishwa na kuelinishwa na nani?
Natamka wazi kuwa Chadema imejijengea hazina kubwa ua viongozi waadilifu hapo baadae.