Nimefuatilia sana sijawahi kuona kijana wa CHADEMA kwenye mabanda ya kubeti na kamari

Ndio mzimu wa Nyerere hauwezi kuwaachia nyinyi mchukue nchi hata iweje,
unafikiri wewe na familia yako ndio mnaamua nani aachiwe nchi au ujinga ulionao wewe na wajinga wenzio huko CCM ndio huwa mnapiga story zenu kwenye makorido ya Lumumba
 
Hata CCM wanalijua hilo
 
Kwa kijana kubeti ni dalili ya kushindwa maisha, maisha ni mipango na inafanyika kwa usahihi katika kila stage kwa umri sahihi, sasa kijana wa miaka 25 anaamka asbh anakimbia kubeti - hili ni janga la kitaifa.

Wengine wasiobeti wanatafuta wajane kwenye mitandao.. ๐Ÿ™‚ na mabinti nao wa 18 hadi 25 wanatafuta wastaafu, yaani ni vurugu mechi.
 
Sawa wasiwepo ila kuwang'oa CCM ni jambo jingine labda wamfufue Nyerere mwenyewe aje awape uongozi wa nchi bila hivyo wasahau,
Then unafaidika nini wewe? Miaka 60 ya uhuru bado unalala kwenye nyumba ya udongo?
 
Wengi ni wahitimu wa vyuoni. Ccm inatulete beti beti kila kona, kwenye simu mpaka redio siku hizi zinaendesha bahati na sibu zao.
 
Na kwenye mbege umewakosa
 
Wengi ni wahitimu wa vyuoni. Ccm inatulete beti bfti kila kina, kwenye simu mpaka redio siku hizi zinaendesha bahati na sibu zao.
Redio zote za wasanii wa magu zina vipindi vingi vya kubeti kuliko vya habari na mafundisho?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ugonjwa wa akili. Research yako uneifanya kwenye wet dreams zako labda
 
Hehehe huko ccm kuna majanga. Kuanzia vijijini hadi mijink
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ