Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

Hapo kwenye bold mkuu, ulitaka wewe ndiye uingiziwe muhogo wa Jang'ombe?
Ngoja nimtetee, Maadili ya Utumishi wa Umma yanakataza mahusiano ya kimapenzi/ngono kazini. Kama ilivyoelezwa hapo juu na huyu ndugu, kitendo cha mahusiano ya kingono kati ya Ummy Mwalimu na Bwanakunu ambae alikuwa Mtendaji Mkuu wa MSD automatically lazima utendaji kazi wa MSD ungeathirika, na ndicho kilichotokea.....
 
Wakikupuuza na ujinga wako, wewe unatafsiri "wameelewa"? Kuna ukilaza zaidi ya huo wako?
Nitapuuzwa na wasio na akili tu! Mpaka sasa hivi hakuna hata mmoja amethubutu zaidi ya mburula mmoja tu
 
Hivi joni kwani umekuwaje, ama tumeachana na staili ile ya mapambio na tumekuja kivingine, tupe ujumbe mpya uliokuja nao sii kutuzungushazungusha humu. Kuna nini kipya vilio ni gani, je ataviondoa vipi, ama ni mitano tena imeshika kasi.
 
Hivi joni kwani umekuwaje,ama tumeachana na staili ile ya mapambio na tumekuja kivingine,tupe ujumbe mpya uliokuja nao sii kutuzungushazungusha humu.kuna nini kipya vilio ni gani,je ataviondoa vipi,ama ni mitano tena imeshika kasi.
Hahahaaaa...... Ndugai anakwambia Chadema ni zilipendwa sasa kuna Bawacha!
 
Kuna faida ya kumchagua Expart wa fani husika kwa kila wizara.
 
Waziri Ummy Mwalimu ni mmoja ya Mawaziri wachache aliyemaliza miaka yake mitano akisifiwa na maCCM wenzake kama malaika na kuteuliwa tena kuongoza Wizara nyingine nyeti kwa miaka mingine mitano, leo maCCM yaleyale yamesha mgeuka na kumwona alikuwa shetani, malaika ni aliyopo ambaye hajatimiza hata siku 100 kwenye nafasi hiyo wala haijulikani kama atamaliza mitano. Rais Kikwete akiwa madarakani maCCM yalikuwa yanamjaza sifa kama malaika ingawa Wapinzani walijaribu kumkosoa ili ajirekabishe lakini waliambulia matusi na kuonekana siyo wazalendo, leo maCCm yaleyale yanamwona ni shetani mwenye mkia na pembe. Huo ndo ujinga wa CCM na imekuwa ni tabia ya kusifu na kupongeza viongozi wao badala ya kuwasaidia kwa kuwashauri na kukemea wanapokwenda kinyume na taratibu au wanapofanya ujinga. Tutaona mengi Kibajaji akiwa Rais mwaka 2025, mstaafu itabidi ahamie Rwanda, Kikwete hakuwa na pakuhamia!
 
Gwajima hakalipii watumishi bali anakaripia waizi na wizi wa dawa na vifaa tiba.
 
Nitapuuzwa na wasio na akili tu! Mpaka sasa hivi hakuna hata mmoja amethubutu zaidi ya mburula mmoja tu
Hawaji hapa kukwambia "wanakupuuza"; yaani hata kutumia akili hiyo kidogo uwezo huo huna?
 
Ummy Mwalimu alifanya kazi nzuri sana, ktk sekta ya afya ukikaripia watumishi tegemea madudu zaidi kama unabisha tumpe muda Dr Gwajima
Kwa hiyo unataka asiwe mkali awalambelambe miguu vibaka wa dawa zilizonunuliwa na fedha za wananchi...khaa hivi una akili wewe
 
Fuatilia pia namna zahanati, kituo cha afya hospital zinavyojiendesha utapata majibu. Na hauta mraumu waziri aliye pita.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli huu hakuna anayeutaka, pita vituo vyote vya kutolea huduma kuanzia zahanati hadi hospitali za rufaa hali ni mbaya sana. Na inashangaza inapoonekana eti ukosefu wa dawa unasabibishwa na wizi, na kwamba serikali ikiamua kuchukua hatua hakuna mtumishi wa afya atakayebaki rejea tamko la naibu waziri wa afya.
 
Hata siku akiondoka mfalme mtasema hivyo hivyo na kumponda, maana unafiki ni jadi yenu
 
Ummy Mwalimu sijuwi alikuwa anakosea wapi, alilelewa sana kwa kuendekeza madudu haya ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…