KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Wakikupuuza na ujinga wako, wewe unatafsiri "wameelewa"? Kuna ukilaza zaidi ya huo wako?Wote wameelewa kasoro wewe mburula. Mtaje mwingine ambaye amedadisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikupuuza na ujinga wako, wewe unatafsiri "wameelewa"? Kuna ukilaza zaidi ya huo wako?Wote wameelewa kasoro wewe mburula. Mtaje mwingine ambaye amedadisi
Ngoja nimtetee, Maadili ya Utumishi wa Umma yanakataza mahusiano ya kimapenzi/ngono kazini. Kama ilivyoelezwa hapo juu na huyu ndugu, kitendo cha mahusiano ya kingono kati ya Ummy Mwalimu na Bwanakunu ambae alikuwa Mtendaji Mkuu wa MSD automatically lazima utendaji kazi wa MSD ungeathirika, na ndicho kilichotokea.....Hapo kwenye bold mkuu, ulitaka wewe ndiye uingiziwe muhogo wa Jang'ombe?
Nitapuuzwa na wasio na akili tu! Mpaka sasa hivi hakuna hata mmoja amethubutu zaidi ya mburula mmoja tuWakikupuuza na ujinga wako, wewe unatafsiri "wameelewa"? Kuna ukilaza zaidi ya huo wako?
Hivi joni kwani umekuwaje, ama tumeachana na staili ile ya mapambio na tumekuja kivingine, tupe ujumbe mpya uliokuja nao sii kutuzungushazungusha humu. Kuna nini kipya vilio ni gani, je ataviondoa vipi, ama ni mitano tena imeshika kasi.Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?
Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Ndugai anakwambia Chadema ni zilipendwa sasa kuna Bawacha!Hivi joni kwani umekuwaje,ama tumeachana na staili ile ya mapambio na tumekuja kivingine,tupe ujumbe mpya uliokuja nao sii kutuzungushazungusha humu.kuna nini kipya vilio ni gani,je ataviondoa vipi,ama ni mitano tena imeshika kasi.
Ile Bawacha 19 au ipi JoniHahahaaaa...... Ndugai anakwambia Chadema ni zilipendwa sasa kuna Bawacha!
Hiyo hiyo bwashee!Ile Bawacha 19 au ipi Joni
Hiyo sio Bawacha, hiyo ni usajili kijani19Hiyo hiyo bwashee!
Kwahiyo tatizo ni nini kama wabaya wameondoka?Hali ya dawa bado ni mbaya, MSD inahitaji kupewa mtaji mpya tena zaidi ya ule uliokuwa mishandled
Waziri Ummy Mwalimu ni mmoja ya Mawaziri wachache aliyemaliza miaka yake mitano akisifiwa na maCCM wenzake kama malaika na kuteuliwa tena kuongoza Wizara nyingine nyeti kwa miaka mingine mitano, leo maCCM yaleyale yamesha mgeuka na kumwona alikuwa shetani, malaika ni aliyopo ambaye hajatimiza hata siku 100 kwenye nafasi hiyo wala haijulikani kama atamaliza mitano. Rais Kikwete akiwa madarakani maCCM yalikuwa yanamjaza sifa kama malaika ingawa Wapinzani walijaribu kumkosoa ili ajirekabishe lakini waliambulia matusi na kuonekana siyo wazalendo, leo maCCm yaleyale yanamwona ni shetani mwenye mkia na pembe. Huo ndo ujinga wa CCM na imekuwa ni tabia ya kusifu na kupongeza viongozi wao badala ya kuwasaidia kwa kuwashauri na kukemea wanapokwenda kinyume na taratibu au wanapofanya ujinga. Tutaona mengi Kibajaji akiwa Rais mwaka 2025, mstaafu itabidi ahamie Rwanda, Kikwete hakuwa na pakuhamia!Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?
Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna faida ya kumchagua Expart wa fani husika kwa kila wizara.
Maisha yalikuwa kama hivi enzi zile, natumai hata dola haikuwa 2,300Cleopa Msuya na Basil Mramba walikuwa wataalam wa Fedha pale Wizara ya Fedha
Hawaji hapa kukwambia "wanakupuuza"; yaani hata kutumia akili hiyo kidogo uwezo huo huna?Nitapuuzwa na wasio na akili tu! Mpaka sasa hivi hakuna hata mmoja amethubutu zaidi ya mburula mmoja tu
Kwa hiyo unataka asiwe mkali awalambelambe miguu vibaka wa dawa zilizonunuliwa na fedha za wananchi...khaa hivi una akili weweUmmy Mwalimu alifanya kazi nzuri sana, ktk sekta ya afya ukikaripia watumishi tegemea madudu zaidi kama unabisha tumpe muda Dr Gwajima
Fuatilia pia namna zahanati, kituo cha afya hospital zinavyojiendesha utapata majibu. Na hauta mraumu waziri aliye pita.Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?
Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.
Maendeleo hayana vyama!
Ukweli huu hakuna anayeutaka, pita vituo vyote vya kutolea huduma kuanzia zahanati hadi hospitali za rufaa hali ni mbaya sana. Na inashangaza inapoonekana eti ukosefu wa dawa unasabibishwa na wizi, na kwamba serikali ikiamua kuchukua hatua hakuna mtumishi wa afya atakayebaki rejea tamko la naibu waziri wa afya.Huo uhaba wa dawa una zaidi ya miaka sasa . Hivi wafahamu pamoja na Serikali kujinasibu kuongeza bajeti ya dawa lakini kiuhalisia hiyo bajeti haitoki? Hivi unafahamu kwa zaidi ya miaka 2 Serikali haikupeleka pesa ya kununua dawa kutoka Hazina kwenda kwenye Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali? Hizo dawa zingenunuliwa kwa pesa ipi?
Hivi wafahamu pesa za Mfuko wa Afya ( Health Sector Basket Fund) hazikupelekwa Halmashauri almost mwaka wote wa 2020? Wadhani uendeshaji wa Idara ya Afya katika mila Halmashauri ya Wilaya (CHMT) na Sekretatieti za Mikoa ( RHMT) ulikuwaje?
Serikali itimize wajibu wake wa Msingi wa kuhakikisha MSD Kuna dawa za kutosha na pesa kwenye Vituo ziwepo za kutosha Kama utaona hivyo vilio
Ummy Mwalimu sijuwi alikuwa anakosea wapi, alilelewa sana kwa kuendekeza madudu haya ya kijinga.Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.
Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?
Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.
Maendeleo hayana vyama!