Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

Nimefuatilia ziara ya waziri Gwajima mikoani, kiukweli madudu ni mengi. Yule Ummy alikuwa anapiga siasa tu!

Eenh Heee, wewe umezaliwa leo na kuingia JF leo leo? Mbona unazidi kujidhalilisha hivi!
Wacha undezi dogo. Mimi Ni JF expert member na nimeinhia JF mwaka 2012 wewe ukiwa kwenu Swek unasoma shule ya msingi. Angalia details zangu. Wewe umeinhia japa Julai 2018, halafu unadiriki kuniambia Mimi nimeingia leo. Kama niaishani wewe hujabalehe au bado bikra. Heshimu wakongwe wanoweza kuwa baba zako
 
Ummy Mwalimu alikuwa anashirikiana na Mkurugenzi wa MSD ambaye yuko Segerea kwa tuhuma za utakatishaji fedha. Waziri Ummy, Bwanakunu na mganyabiashara wa dawa Bahari Pharmacy ndiyo wameidhoofisha MSD kwa mikataba feki ya dawa, ku- supply delivery kits zilizo expire.

Waziri Gwajima asijisumbue kwenda mikoani kuwafokea madokta na mafamasia wasio na madawa, bali aende MSD akajionee UOZO. Kuna madawa yapatayo Sh 30 Bilioni ambayo yame expire.

..wakati UFISADI wote huo unaendelea Tiss na Takukuru walikuwa wapi?

..au walikuwa busy kuwashughulikia viongozi na wafuasi wa upinzani?
 
Wewe ni "mkongwe JF", 2012; na wala hujui yanayoendelea JF?
Ukongwe wa kuwa kiazi namna hiyo haukusaidii chochote. Hiyo 2018 hujui maana yake. Tafuta ujio wa JF na mtangulizi wake utamkuta 'kalamu' kajaa tele.
Hata ilipokuwa Jambo Forums nilikuwa member kwa hiyo usininabaishe. Nimekupa takwimu za Wizara ya Afya na fesha za dawa wewe unanipa sweeping statement, bado na wewe unajioa ni great thinker??
 
Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.

Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?

Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.

Maendeleo hayana vyama!
Shida wala sio Ummy, semaaa umetumwa kuja kumsifia Doroth hapa
 
..wakati UFISADI wote huo unaendelea Tiss na Takukuru walikuwa wapi?

..au walikuwa busy kuwashughulikia viongozi na wafuasi wa upinzani?
Swali la msingi sana Hilo. TAKUKURU kwa sasa wanayo ripoti kamili ya UFISADI huo. TISS wao hufanya Kama whistle blowers kwa kuandika ripoti na kupeleka juu.
 
Shida wala sio Ummy, semaaa umetumwa kuja kumsifia Doroth hapa
Njoo na takwimu Kama Mimi ndiyo utanitoa kwenye msitari. Kinyume cha data kama zangu utakuwa Kama kasuku. Kama huna data Soma tu hapa halafu, nenda ukakojoe na ulale
 
Nimekupa takwimu
Namba zisizo na uwiano unaziita "takwimu"? Umesoma shule za "Jalalani"?

Ungesema kwa watu waliokuwepo 1961 fungu la pesa alilotengewa kila mmoja wao na ukalinganisha na wa leo hapo ungekuwa mwanzo mzuri wa kuzungumzia 'takwimu' hata kama hukuweka 'inflation adjustment' iliyopo leo.

Lakini utalinganisha vipi hela ya 1961 na hii ya leo na kuvimbisha shingo na kuropoka kama ulivyoropoka hapo juu, kama wewe ni mtu mwenye akili timamu?
 
Kila eneo analopita waziri wa afya Dr Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk.

Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi waziri aliyetangulia Da Ummy Mwalimu na wasaidizi wake walikuwa wanafanya kazi gani!?

Chapa kazi Dr Gwajima wananchi tuko nyuma yako.

Maendeleo hayana vyama!
Hata yeye atakapoondoka akija mwingine hadithi itakua hiyo hiyo.
 
Namba zisizo na uwiano unaziita "takwimu"? Umesoma shule za "Jalalani"?

Ungesema kwa watu waliokuwepo 1961 fungu la pesa alilotengewa kila mmoja wao na ukalinganisha na wa leo hapo ungekuwa mwanzo mzuri wa kuzungumzia 'takwimu' hata kama hukuweka 'inflation adjustment' iliyopo leo.

Lakini utalinganisha vipi hela ya 1961 na hii ya leo na kuvimbisha shingo na kuropoka kama ulivyoropoka hapo juu, kama wewe ni mtu mwenye akili timamu?
Pumbafu mkubwa wewe hujasoma vizuri nilichoandika, rudi ukasome ndiyo uje uandike uharo tena hapa. Nimetoa takwimu za 2015/16 kuwa expenditure kwenye dawa ilikuwa Ts 30 B against Ts 104 B kwa miaka 3 iliyofuata.
Mwaka 1961 hauna takwimu yeyote zaidi ya ku qualify hoja.

Ni nini usichoelewa ndezi wewe?
 
Huyo maza gwajima Ni Kangi lugola in woman version .

Yeye Ni Lile tenge lake la bendera ya taifa staili yake ya kuongea dizaini ni mwalimu hivi [emoji1]

Daaah huwa nachekaga Sana nikimuona anavyoongea yaani personality yake imekaa ki-comedy hivi

Gwajigirl na Gwajiboy wote Ni Gwajifiksi[emoji57]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Pumbafu mkubwa wewe hujasoma vizuri nilichoandika, rudi ukasome ndiyo uje uandike uharo tena hapa. Nimetoa takwimu za 2015/16 kuwa expenditure kwenye dawa ilikuwa Ts 30 B against Ts 104 B kwa miaka 3 iliyofuata.
Mwaka 1961 hauna takwimu yeyote zaidi ya ku qualify hoja.

Ni nini usichoelewa ndezi wewe?
Mimi nimejibu mstari huo mmoja tu ulioanza nao, ambao umeonyesha upumbavu mkubwa ulionao. Nenda kasome nilipoanzia kukujibu.
 
Mimi nimejibu mstari huo mmoja tu ulioanza nao, ambao umeonyesha upumbavu mkubwa ulionao. Nenda kasome nilipoanzia kukujibu.
Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye.....

Wenye akili na werevu wameelewa, amebakia mpumbavu mmoja tu. Hatuna msaada zaidi kwa kuwa upumnavu nao ni ulemavu kama upofu
 
Waziri Ummy ni mama mtulivu sana. Alipewa wizara ngumu ya afya ilhali yeye si tabibu lakini alipokea jukumu...akaenda taratibu akajufunza na kuyafahamu mambo.

Hata wanaotamka kwamba sasa ni wakati muafaka wa kuwa na waziri mkuu mwanamke ...maoni yangu ni kwamba kwenye serikali hii hakuna kiongozi mwanamke mwenye kichwa imetulia kama Ummy. Wengine wote ni mapichapicha tu
 
..wakati UFISADI wote huo unaendelea Tiss na Takukuru walikuwa wapi?

..au walikuwa busy kuwashughulikia viongozi na wafuasi wa upinzani?
Usisahau pia kwamba huyo Ummy na Katibu Mkuu wake maongezi yao ya simu yaliwahi kudukuliwa na mkubwa mwenyewe na kuyatangaza kila mtu ajue.
Inashangaza sana kama Ummy aliendelea kufanya vioja kama vinavyoandikwa hapa bila ya woga wa kudukuliwa tena! Ina maana hatishiki?
 
Huna lolote mburula, unabishana na namba.

Mbona wengine wameelewa hoja, wewe ni mlemavu wa akili kama walivyo walemavu wengine. Hatuna msaada zaidi
Nani kaelewa hoja ya hela ya 1961 kulinganishwa na hiyo ya 2018? Ujinga hauwezi kukutoka na unapoongeza na upumbavu ndio unazidi kuwa mpuuzi zaidi.
 
Swali la msingi sana Hilo. TAKUKURU kwa sasa wanayo ripoti kamili ya UFISADI huo. TISS wao hufanya Kama whistle blowers kwa kuandika ripoti na kupeleka juu.
Mkuu, baada ya hao wawili kuondoka hali ya dawa ikoje?
 
Nani kaelewa hoja ya hela ya 1961 kulinganishwa na hiyo ya 2018? Ujinga hauwezi kukutoka na unapoongeza na upumbavu ndio unazidi kuwa mpuuzi zaidi.
Wote wameelewa kasoro wewe mburula. Mtaje mwingine ambaye amedadisi
 
Back
Top Bottom