Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Pesa si UTU..Tafuta pesa ,huna pesa harafu unaenda kumzonga Mbunge? [emoji23][emoji23]
Point....Najaribu kuwaza kama ingekuwa umeambiwa mpishe mzungu anunue kwanza kila mtu angekuwa analalamika ubaguzi
Huyo ni muungwana....Nimewai kua sehemu moja na Abbas Tarimba dah jamaa ni mtu na
Msitaarabu sana
Yaani Tajiri alitakiwa mshikishe Adabu huyo fisadi on making,,Angenunua duka Zima ghafla😁Sema tu huyo TAJIRI MKUU WA MATAJIRI anavinjari na hela ya urithi, ingekuwa hiyo hela ya utajiri wake ameitolea jasho asingekubali udharirishaji huo
Nakazia Nakazia!!Yaani Tajiri alitakiwa mshikishe Adabu huyo fisadi on making,,Angenunua duka Zima ghafla😁
Ur right 👍Point....
Ubaguzi ni mbaya ukifanywa na yeyote awaye....
Uonevu ni mbaya ukifanywa na yeyote awaye.....
Hawa ndio viongozi wanaojiona ni miungu watu nchiniShame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.
Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.
Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.
Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.
View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
TrueNajaribu kuwaza kama ingekuwa umeambiwa mpishe mzungu anunue kwanza kila mtu angekuwa analalamika ubaguzi
hv nguo za elfu20 bado zipo kwenye hy dunia mana mi nishazoea za m5 au napigwanenda karume,,jense kali 20,000
Hapa hapa Tanzania?Nakumbuka tushawahi kufungwq pingu halafu tukawekwa store kumpisha rais mstaafu afanye manunuzi kwenye mall Moja maarufu mpaka alipoondoka tukaombwa radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa sababu za kiusalama
...Unababaikia Watu, Mkuu ! Kama duka lako ni Zuri wataingia TU Watu, Wabunge na Watu wa Kawaida. Hela wanayotumia ni Ile Bongo Money !Kuna wale wateja kila mzigo mpya ukiingia lazima anunue kwa wingi. Kuwatunza wateja wa hivyo ni gharama. Halafu kumbuka huyo ni mbunge, anazungukwa na wavaa suti wenzake. Akivaa akapendeza tayari anaweza kivutia wenzake zaidi ya kumi. Kwa hiyo kumuacha achague kwanza yeye ni namna ya kutaka kumridhisha tu.
...Ana Nini Cha kukuzidi ? Hela ?...VYEMA KUTOKWENDA KWENYE HILO DUKA TENA.
KWA MUJIBU WA GOOGLE HUYU NDIO F.SANGA
View attachment 2773433View attachment 2773434
Kwenye biashara wateja wana madaraja, ni jukumu la mfanyabiashara kuamua anataka kuhudumia wateja wa daraja lipi. Hata lambalamba za ukwaju zipo za matajiri na zipo pia kwa ajili ya akina kajamba nani...Unababaikia Watu, Mkuu ! Kama duka lako ni Zuri wataingia TU Watu, Wabunge na Watu wa Kawaida. Hela wanayotumia ni Ile Bongo Money !
Usiwatenganishe Wateja wako Kwa Ukwasi Wao...
Ungelalamika.....maanA mteja ni mfalmeShame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia.
Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo.
Nikiwa kwenye dawati la malipo, ndipo akaja supervisor na kuniambia sitakiwi kununua chochote hadi mbunge Festo Sanga anunue kwanza.
Huu ni upumbavu namba moja kwenye ulimwengu wa biashara na soko huria.
View attachment 2773410View attachment 2773412View attachment 2773413
Nimgemlalamikia nani? All the rights are reserved by the owner of the shopUngelalamika.....maanA mteja ni mfalme
Mantiki yangu si ulikuwa hatua ya mwisho ungemalizia tu .....au rights zipi unaongelea??Nimgemlalamikia nani? All the rights are reserved by the owner of the shop