Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

Wewe ni binadamu dogo!
 
Graduate mnapitia vipindi vigumu Sana ...pole Mkuu wadau wengi wa JF tupo dsm

Jaribu kwenda msikitini huku ukitafakari kuja hapa dsm huku ndo Kuna fursa na watu sio wabaya .

Graduate mtegemeeni Sana Mungu whatever what you going through.
Wengi wanachagua chagua kazi,kujitenga na wahuni kunawanyima michongo
 
Hatar sana,vijana wanakazn kuonesha umwamba chuo,mwisho wanamaliza Account znasoma NEGATIVE BALANCE πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mtu hasiye na Kazi wala Ajira rasmi au isiyo rasmi ananunua simu ya laki tatu kwa kutumia Boom then akimaliza chuo account Inasoma 0-0 hanakosa hata pakuanzia while anafanya yote haya anakuwa anazijua Hali zao za nyumbani kuwa masikini wakutupwa .
 
Usikute ni jambaxx .hizi huruma sometimes zina cost. Huu ujasiri wa kuja JF kwa issue kama hii katoa wapi
 
Pole kpnd Cha kumalza chuo kinakuaga kigumu sana me mwenyewe nlwai fukuzwa kijanja na shosti angu ...Iyo siku niliishia lala hospitali chumba Cha sindano[emoji846]..Maisha ni safari jamani ...
Mkuu sasa chumba cha sindano ulifika vipi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nadhan wana Jf walimsaidia japo kidogo kidogo japo hatoi mrejesho.

Nasita kumhukumu mapema ila visanga vya kusaidia watu Jf vina historia zake na vinataka umakini
 
Duniani Kuna mengi sana,,Mimi nakumbuka nilitoka Home vijijini kuelekea Mwanza Kwa ajili ya utafutaji, na nilipanga kufikia Kwa brother,,,,Sina simu ila Nina Namba mkononi. KUFIKA Mwanza nampigia hapatikani,,,Tafuta Hadi maeneo ya kazini kwake wakaniambia amahamia Bugarika.

Nilienda Bugarika namuulizia hayupo,,, daaaaah ndio saa MBILI usiku Sina pa kwenda,,,,niliingia na begi langu kwenye Pagare Fulani hv nikaangalia mazingira nikaona ok Leo nauweka hapa,,,,,ahahahaaha ila,,,,,Acheni Mungu aitwe Mungu nilisaidiwa na mtu ambaye hata simjui,,,,bro ningekuwa Dom ningekusaidia!!!!,πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…