Nadhan wana Jf walimsaidia japo kidogo kidogo japo hatoi mrejesho.
Nasita kumhukumu mapema ila visanga vya kusaidia watu Jf vina historia zake na vinataka umakini
Malori yana vijumba vidogo vidogo vingi njiani balaa.Mkuu
Endapo hautopata msaada wowote hadi muda huu basi fika kituo chochote cha polisi utapta msaada bana.
Ukiwaeleza issue yako wanaweza hata kushauriana na mwenyeji wako au namna ya kukupatia hifadhi kwa muda unaosubiri nauli.
Na kama unataka kurudi Dar kwa namna yeyote, polisi wanaweza kukuombea lift kwenye malori ya mizigo ukafika Dar hata kesho.
Mi niliondoka kwa mdogo wangu wa damu kabisa,nilipotezaga kazi nikiwa mkoani nikapitia kipindi kigumu sana. Ndugu wakasema wanavyojiskia mi sikujali. Sasa ikawa nakuja Dar kufuatilia mafao yangu enzi hizo ndo wamepiga pini fao la kujitoa. Dogo alikua ndo kamaliza chuo kapata kazi. Basi Ikawa dogo hana stori namimi kabisa na hata asubuhi akisepa ni kimyakimya. Sikugundua hadi kama mara ya 3 hivi nimefikia kwake ndo hali ikawa waziwazi nikashindwa kuvumilia.Pole kpnd Cha kumalza chuo kinakuaga kigumu sana me mwenyewe nlwai fukuzwa kijanja na shosti angu ...Iyo siku niliishia lala hospitali chumba Cha sindano🙂..Maisha ni safari jamani ...
Unasema kuna joto!? Hupajui dom wewe, huku kuna jua kali, ikifika jioni baridi, usiku baridi kali na asubui mapema sana kijua hicho yaani hapajawai kutulia kbs!Kama ni mzima wa afya na siyo mlemavu, nakushauri acha kulialia kwanza Dodoma joto hata nje unaweza ukalala.
Bado ametumia ujinga wake, mtu ameomba hifadhi ili atakapopata nauli arudi Dar, yeye anamwambia arudi Dar haraka as if ameshamkatia tiketi😀ID yako Ujinga mtupu ila una akili sana😃
Kwa hiyo ndio umeamua kunitangaza huku? Siku zote tunapiga story unashindwa nini kuniambia kama umechoshwa na uwepo wangu hapo kwako?Mtumish kabisa serikalin alisema anakaa mwezi ili salary ile September ataondoka akapange matokeo sijui alihonga.. navumilia salary hii asipoondoka namtimua 😂😂😂
Mkuu
Endapo hautopata msaada wowote hadi muda huu basi fika kituo chochote cha polisi utapta msaada bana.
Ukiwaeleza issue yako wanaweza hata kushauriana na mwenyeji wako au namna ya kukupatia hifadhi kwa muda unaosubiri nauli.
Na kama unataka kurudi Dar kwa namna yeyote, polisi wanaweza kukuombea lift kwenye malori ya mizigo ukafika Dar hata kesho.
Nilimwachia mtu simu muda huo na hakuniambia kama nilipigiwa simu,na nilivyoona uko kimya nikajua ulihairisha safari.Pole jamaa, nakumbuka kuna kipindi natoka mkoani naenda Dar nimeshaa chonga na ndugu yangu vzr kabisa kwamba nitatua kwake.
Nakaribia kufika napiga simu haipokelewi, nikajua normal tu, hee nashuka naona simu haipokelewi.
Asnte Yesu nikikua vzr mfukoni ikabidi niingie lodge tu, nikapata akili kumbe binadamu sie dah.!
Hakunitafutaga mpaka leo japo kwenye masuala muhimu huwa tunakutana mfano misiba, harus lkn hakuwahi wala sikuwah muuliza ilikua
Kwenye maisha ogopa sana watu wasio na misimamo na ambao siyo wawazi. Huyu jamaa angeweza tuu kumwambia jamaa yake kwamba aisee nakupa mwezi mmoja utafute sehemu yako ya makazi kwa sababu sitoweza kuendelea kuishi na wewe kwa sababu hii au ile, au hata kumwambia kwa sababu zangu binafsi. Na kama anakauwezo angeweza hata kumtafutia nauli au pesa ya guest hata za hali ya chini kwa siku mbili tatu. Pia uzoefu wangu kwa watu wa aina hii ikitokea mko wote kazini ni wa hatari kwa sababu wanaweza wakapiga dili la hela kazini halafu wakakusingizia wewe ili pengine ufukuzwe kazi au ufungwe, kiufupi ni watu hatari sana.Naona jamaa wako kakufukuza kijanja usikute hata mwanamke hatokaa nae katafuta njia ya kukutoa hapo geto
Babu yangu aliniasa kwamba hata siku moja usiende ugenini bila kuwa na akiba yako ya kukulinda pale utakapopatwa na changamoto ugenini.Pole jamaa, nakumbuka kuna kipindi natoka mkoani naenda Dar nimeshaa chonga na ndugu yangu vzr kabisa kwamba nitatua kwake.
Nakaribia kufika napiga simu haipokelewi, nikajua normal tu, hee nashuka naona simu haipokelewi.
Asnte Yesu nikikua vzr mfukoni ikabidi niingie lodge tu, nikapata akili kumbe binadamu sie dah.!
Hakunitafutaga mpaka leo japo kwenye masuala muhimu huwa tunakutana mfano misiba, harus lkn hakuwahi wala sikuwah muuliza ilikuaje.
Si ndiyo hapo sasa, mimi niko Kijiji cha Ikubulu Wilaya ya Uvinza, Kigoma, naperuzi JF kwa raha zangu..Akili mgando. Unadhani JF inapatikana Dar tu?
Hii situation ilinikuta. Rafiki yake na rafiki yangu alikuja town kuanza maisha.Niliwahi karibisha jamaa yangu akae siku tatu tukiwa chuo akakaa miezi mitatu na point. Sikuwa na mambo mengi na tuliendana vitu vingi basi alikaa mpaka alipoamua kuondoka. Inaleta changamoto ukikaa na mtu mko tofauti sana na bado unapenda uhuru wako
Mimi huyu alikuwa mwanachuo na tumesoma shule moja hivyo namjua fika. Alikuwa flexible anaweza toka siku moja ukimwambia so hatukuishi kwa shidaHii situation ilinikuta. Rafiki yake na rafiki yangu alikuja town kuanza maisha.
Rafiki yangu akasema yeye huwa dem wake anakuja kulala hapo so ni bora afikie kwangu. Basi nikajua atakaa wiki.
Ebwana eeh. Alihamia jumla jumla kama miezi minne hivi akapata kazi mkoani...
Kwa kweli alisababisha usumbufu kwa kuwa 'ndege zilikuwa zinashindwa kutua'.
naye katumia njia ndefu dawa ya watafta makaz kama hawa unamchana utakaa mwezi ukiisha unasepa bas maana vijana wanajisahau ukiruhusu siku moja ndo bas tenaNaona jamaa wako kakufukuza kijanja usikute hata mwanamke hatokaa nae katafuta njia ya kukutoa hapo geto