Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Watu wa kupigana nao wako wapi mkuu?🤣🤣🤣🤣Kumbe upo vitani huku na hujanishtua wakunyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa kupigana nao wako wapi mkuu?🤣🤣🤣🤣Kumbe upo vitani huku na hujanishtua wakunyumba
NIMEFUKUZWA TENA
BAADA ya kuweka video hii ya TBC nikatolewa kundini:
View: https://youtu.be/-bwoz3jI7RA?si=rJdx_0PlMIHxm4Wm
Nilikuwa kwenye group moja nikafukuzwa naamini wengi mlisoma makala ile.
Bahati nikawa nimebakia katika group kwa no. yangu nyingine ambayo siitumii sana na kwa sababu hiyo ikawa sijui kama bado niko kundini.
Nikajiambia mwanzo hapa nimetimuliwa kwa makala niandikazo na moja ya sababu nilielezwa sielezi vizuri historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
Nikaamua kuanzia sasa hapa kundini nitaweka vipindi nilivyofanya na TBC, AZAM na stesheni nyingine na vikarushwa kwa wananchi wote wa Tanzania.
Niliamini kwa kufanya hivyo nitakuwa nimewadhihirishia viongozi wa group kuwa Mohamed Said anakubalika hadi na vyombo vikubwa ikiwemo TBC.
Nikaweka video kama tatu hivi nazungumza historia ya Baba wa Taifa.
Haikunisaidia kitu.
Nadhani nimedumu kundini kwa siku kama tatu hivi leo wamenifukuza.
Inaelekea historia ya Mwalimu Nyerere itakiwayo ni ile ya zamani yuko peke yake wasitajwe wenzake
Stow...
Glenn,Mzee Mohamed Said
Ikiwa mwandiko wangu umeonyesha hata dalili au viashiria vya kukutisha, ninaomba RADHI SANA KWAKO.
Nia yangu sio kukutisha au kukulazimisha.
Nia yangu nilitaka kujua UTHABITI WA MAHAKAMA YAKO YA NDANI katika kutoa hukumu na haki.
Mwenye mahakama huru ndani yake hajui kupendelea kwa mrengo wake au kwa maslahi yake bali huhukumu sawa na kweli ilivyo.
Nitafurahi nikipata maoni yako huru kuhusu bandari.
Naheshimu mawazo yako
Asante sana
Mungu akubariki sana
Glenn
Glenn,Mzee Mohamed Said
Ikiwa mwandiko wangu umeonyesha hata dalili au viashiria vya kukutisha, ninaomba RADHI SANA KWAKO.
Nia yangu sio kukutisha au kukulazimisha.
Nia yangu nilitaka kujua UTHABITI WA MAHAKAMA YAKO YA NDANI katika kutoa hukumu na haki.
Mwenye mahakama huru ndani yake hajui kupendelea kwa mrengo wake au kwa maslahi yake bali huhukumu sawa na kweli ilivyo.
Nitafurahi nikipata maoni yako huru kuhusu bandari.
Naheshimu mawazo yako
Asante sana
Mungu akubariki sana
Glenn
BOra umechagua kuwa kimya mzee wanguGlenn,
Sina la kusema kuhusu bandari.
Kote...Ndugu yangu usijidanganye, hukubaliki hata na mtoto mdogo. Kwa vile wewe ni mdini
Glenn,BOra umechagua kuwa kimya mzee wangu
Unanichanganya mzee wangu.Glenn,
Nishalizingumza suala la bandari ingia YouTube Mohamed Ghassany.
Glenn,Unanichanganya mzee wangu.
Hapo juu umeniambia huna la kusema juu ya bandari
Umenifanya nimecheka sana🤣🤣Glenn,
Inaelekea unapenda ubishi.
Nimekujibu sina la kusema.
Kweli sina la kusema kwani nilishasema.
1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?
2. Ni ajabu sana karibu waislam wote wameuelewa mkataba wa bandari kuliko wanasheria...hii imekaaje? (PAMOJA NA ELIMU YA MASHEIKH NI TIA MAJI TIA MAJI LKN MKATABA WAMEUELEWA KWA HARAKA SANAA)
3. Masheikhe wengi wametoa matamshi tata ya kuwakemea na kuwakejeli TEC waliochagua kulinda maslahi ya nchi...hii nayo imekaaje?
Kuna HARUFU YA UDINI ULIOJIFICHA CHINI YA DPW.
Nikwambie tu, moto huwezi kufunikwa na kipande cha khanga mzee Mohamed, tusubiri, tuombe uzima
Glenn,Umenifanya nimecheka sana🤣🤣
Ninachojua umekwepa kuibua mjadala juu ya mjadala.Glenn,
Sisi ndivyo tulivyolelewa.
Tumefunzwa adabu hatumtusi mtu ndiyo maana umenisoma hukaghadhibika umefurahi na mwishowe kucheka.
Kwamba unaona hawapoWatu wa kupigana nao wako wapi mkuu?🤣🤣🤣🤣
Kwamba unaona hawapo
Glenn,Ninachojua umekwepa kuibua mjadala juu ya mjadala.
Asante
Mzee umekwiva.... I like watu wanaojua historia...kongoleSyllog...
Ukimwacha Abdul Sykes utafikaje kwa Dr. Kwegyir Aggrey aliyemtia hima baba yake Abdul Mzee Kleist kuunda African Association 1924?
Utamwingizaje Julius Nyerere katika TAA Dar-es-Salaam 1953?
Utapataje kadi tatu za mwanzo za TANU?
TANU Card No. 3 Abdul Sykes, No. 2 Ally Sykes na No. 1 Territorial President Julius Nyerere.
Utafikaje katika mitaa hii?
Joa...Mzee umekwiva.... I like watu wanaojua historia...kongole
Atafukuzwa na huku huyo maana ana mahaba mazito na hao kina Abdul Sykes.Mzee Mohamed Said, usijali JamiiForums ndiyo chombo cha habari kikubwa hapa Tanzania.
Babu...Atafukuzwa na huku huyo maana ana mahaba mazito na hao kina Abdul Sykes.