Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Kesi ya uhujumu uchumi inakuhusu.
Haiwekani uwe na mpunga mwingi kiasi hicho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamna mkuu kawaida tu sema tunajitoa kwa ajili ya wengne ndio maana Mungu ana bless

Siri moja ya kuwa na mafanikio sio ubahir Bali kutoa kile ulichonacho kwa ajili ya wengne dua zao Ni kubwa kushindwa unavyodhani na Mungu hukupa hapo na kukuongezea
 
I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
Saa 10:16 Jioni 24/6/2021. Sijapata SmS ya NMB..Nimeenda Bank nilizani tayari nimeambiwa Sorry the amount requested is bigger than what you have in your account🙉🙉😩😩Guess ATM Mwisho is how much!!?? No akiba.
 
Huo😎😎😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom