herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Watanzania tunauhuru kupenda na kushabikia vyama vya siasa Tunavyovipenda.Kweli kabisa kuna watu wana roho mbaya.
Binafsi namkubali D'mond kama kijana mpambanaji na anayehustle kuboresha hali yake. Kwa hilo namuombea...
[emoji23][emoji23][emoji23]Atapewa na Bet ya ccm
Chawa huko insta wanatukana balaa [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaa!!!kaka upooo!???Leo angeshinda humu kuna watu wangeanzisha thread 1000 na ushee...pole yao machawa wake!!wamepoa balaa
Wanakuja hawa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo nikupe vibuyu na kaniki
Naomba sasa tuanze kula ligi, tena nipo full yaan kwa mpambano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diamond usiiache ccm kabisa, hao wa chadema kwani wamekushinda nini?
Umeandika upupu we ndiyo walewale mijitu yenye roho mbayaWatu hawana shida nae! Shida ni pale wanyonge wanapoumizwa na serikali yeye anawatungia nyimbo kuwa wacha akae kimya!
Shida ni kuungana na watesi ...
Shida ni yeye kuchukia wenzake!!
Shida ni kutosamini michango ya mashabiki wake akiamin hawana mchango kwake
Ya ndani yao umeyajuaje!! si ndo umbea huo?!! sioni tatizo wala sitaki kujua tatizo lake/lao!! lkn pia jua kuwa matatizo yameumbwa na ni afya. yana uhai!! sasa km ni hivo yakaishi wapi? kwa watu na watu si ndo hao!! hata Malaika wana maatizo ya kuwakomboa wanadamu wajinga! wanao kimbilia kwa shetani.Sala ya toba kamuombee sadala probably ata change na kumsaidia baba yake
Kama huoni tatizo kwa sadala dhidi ya baba yakr basi we ndio unahitaji zaidi kuombewa kuliko mimi
Unafki sio mzuri kama ni kweli ndio hizo harakati zenu basi mpambane na wasanii wote walioburudisha kipindi cha kampeni. ACHENI UNAFKIMimi ni shabiki wake lakini katika hili nilisimama pamoja na wanaharakati maana yeye alisimama na wauaji na watesaji kipindi cha utawala wa yule dikteta
Lazima watu waheshimu haki za binadamu
Ni msanii yupi alikuwepo kwenye hiyo tuzo zaidi ya Diamond? Wangekuwepo tungewasagia kunguni mbonaUnafki sio mzuri kama ni kweli ndio hizo harakati zenu basi mpambane na wasanii wote walioburudisha kipindi cha kampeni. ACHENK UNAFKI
Ana roho nzuri bana weeee na atapaa kimaisha sana!! hata km si baba yake mond i amesaidia watu sana kupanda kimaishaNi kweli sio kazi yangu kwasababu sijari, ila nilikua najibu kwa wanaomuona kama ni mtu fulani hivi mwenye roho nzuri asiye stahili kupingwa kwa mambo yake
Hata wewe umecoment upupu roho mbaya square!umeandika upupu we ndiyo walewale mijitu yenye roho mbaya
🤤🤤🤤[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ni mawazo yako tu, atabaki kuwa na roho nzuri kwa wale aliowatendea mazuri, na atabaki kuwa na roho mbaya kwa wale aliowatendea mabaya, na bahati nzuri maisha haya huwezi kumfurahisha kila mtuNi kweli sio kazi yangu kwasababu sijari, ila nilikua najibu kwa wanaomuona kama ni mtu fulani hivi mwenye roho nzuri asiye stahili kupingwa kwa mambo yake
Mpambano gani nakusikiliza ili nishushe nyuklia nzito nzitoNaomba sasa tuanze kula ligi, tena nipo full yaan kwa mpambano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vazi la kimasai ni Vazi la kizalendo achana na masuti ya kikoloniWanakuja hawa hapa [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1833627