Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Sawa paroko kimahubiri sikuwezi naona kila sehu unaifanya madhabahu

Ila sijajua kwanini hukumshikirisha Yesu kwenye tuzo za BET

Ni kweli unahubiri yesu anaponya, ila sio kwenye BET mkuu
Zile tuzo ilikuwa ni mtego wa kutoka kwa Shetani ili ammalize Mondi kimuzuki!!! ndo maana hazikwenda kwake!!
kwa mfano Shetani aliwahi kumpatia Yesu Mikate ale wakati wa mfungo!

lkn sasa Shetani alivo muongo akamdanganya eti ni Mawe!! hapo alimajaribu kuona km anajua ni Mawe! ili sasa Yesu ale japo ni kweli alikuwa na Njaa ya Mfungo!! na alijua kweli yale si mawe ni Mikate! lkn alikataa!

Shetani alitaka Yesu amuulize mbona haya wanipa ni mawe?? lkn sasa Shetani akapewa jibu tofauti!!, Shetani akachoka mbaya!!! Sawa na Mtoa tuzo alivoitoa kwa mshindi tofauti but kwa mazingaombwe kichawi.... Ndo maana Mondi hakujuta kuikosa!!

Ndo sawa na hii tuzo aliyoikosa Mondi!!! lilikuwa ni bonge la mtego wa Mikosi, na lile limkosi ndani ya tuzo ndo lingemmaliza kimuziki wengi hawakujua!! we subiri uone kwa huyu aliyeipokea ndo itakuwa hiyohiyo!! usipende kupata kila kitu!!! ni hatari!!

vingine viache vipite
 
Zile tuzo ilikuwa ni mtego wa kutoka kwa Shetani ili ammalize Mondi kimuzuki!!! ndo maana hazikwenda kwake!!
1624878999940.png

kwa mfano Shetani aliwahi kumpatia Yesu Mikate ale wakati wa mfungo!

lkn sasa Shetani alivo muongo akamdanganya eti ni Mawe!! hapo alimajaribu kuona km anajua ni Mawe! ili sasa Yesu ale japo ni kweli alikuwa na Njaa ya Mfungo!! na alijua kweli yale si mawe ni Mikate! lkn alikataa!

Shetani alitaka Yesu amuulize mbona haya wanipa ni mawe?? lkn sasa Shetani akapewa jibu tofauti!!, Shetani akachoka mbaya!!! Sawa na Mtoa tuzo alivoitoa kwa mshindi tofauti but kwa mazingaombwe kichawi.... Ndo maana Mondi hakujuta kuikosa!!

Ndo sawa na hii tuzo aliyoikosa Mondi!!! lilikuwa ni bonge la mtego wa Mikosi, na lile limkosi ndani ya tuzo ndo lingemmaliza kimuziki wengi hawakujua!! we subiri uone kwa huyu aliyeipokea ndo itakuwa hiyohiyo!! usipende kupata kila kitu!!! ni hatari!!

vingine viache vipite
Pastor umechagua njia nzuri ya kumliwaza ndugu yako, ila pastor kama ulishindwa kukemea pepo la kukana mzazi, pepo la BET utaliweza?
 
kama ambavyo burna haiachi tuzo
Hakuna shida kukosa tuzo mbele ya Burnaboy maana uwezo anao, shida ni kukosa tuzo kwa vimeo , ccm mbele kwa mbele, kwani hao wakina Roma wasio ccm wamepata nini?
 
Hakuna shida kukosa tuzo mbele ya Burnaboy maana uwezo anao, shida ni kukosa tuzo kwa vimeo , ccm mbele kwa mbele, kwani hao wakina Roma wasio ccm wamepata nini?
hata shida ingekuwepo who cares?
 
Ajue maumivu ya kukosa na kushindwa, sio kila siku kuwapiga spana wasanii wengine na kuwaona mbuzi tu!
 
Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania.

Kama na wewe umefurahi Diamond kukosa tuzo tujuane hapa.
Leo napiga bia nyingi kufurahia tuzo ya burnaboy [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Roho mbaya tu kama mchawi.
 
Watu wenye roho za kwann katika ubora wao..hahahha...umaskin mbaya sana..muda wote utaona unabezwa tu
 
Na hawa woote wanao sema eti wamefurahi Mondi kuikosa Tuzo wasiyoisotea wala kuijua!! waongo hao Msiwaamini!! Dunia imejaa Mawakala wa Kuzimu ni usipime siyo binadamu halisi/wa kawaida ni maajenti wa shetani,

one day nitawaonyesha njia rahisi sana jinsi ya kuwatambua mawakala wa kuzimu kirahisi! na hii ni popote hata barabarani, Ndani ya daladala hata wakitembea wakiongea hata humu ndani wana JF msidhani mko watu halisi tupu, la hasha!!

kuna mawakala kibao wa shetani mnajibishana nao lkn hamwajui nawambia hivo sababu niliwahi fanya haya!! kabla sijajirudi.

wanaiwakilisha kuzimu mchana kweupee sasa wanachokifanya ni wanatujaribu km kweli sisi wa karibu yake tuna ufahamu wa kutosha kwa kile kilicho tokea pale siku ile kwenye utoaji tuzo?? kusema kweli....

Lengo la ile tuzo ni Diamond aipate kiu kweli kabisaa, yaani aitwae kabisaaa! ili kwa kufanye vile akae nayo immalize kimuziki kwa njia za kichawi!! kuumbe hawakujua padoogo sana,

Diamond yeye anatabia ya kumtanguliza Mungu wa kweli, kabla ya kila onyesho, ndiyo maana ile Tuzo ile ikapita hivi kushoto!! bila maneno wala ugomvi wala ulalamishi na yeye kapiga kimya!!

Wabaya wake wangejua mapema kuwa yule bwana ni mtu wa Maombi ya mfungo sana!! wange mroga usingizi wa pono!! ili alale asikumbuke kusali!! lkn hapa walisahau!!! ndo maana wanajifanya eti wamefurahi;

kuuumbe nyuma ya pazia tuliwapiga ngumi za uso!! na ndo kawaida ya wachawi ukimpiga kwa kumpatia atasema ''hilooo limenikosa hiloo , limepiga mti hiloo'' anakuzomea flani hivi, ili umjibu uchawi ukugeukie kimazingara

Sasa km wewe una Maarifa ya kuzimu kiduchu uta mjibu mchawi faster uone muziki wake!! ''Mauchawi yanakugeukia yooote km yote!! kwa kulijua hili Mondi kapiga kimya!! ebu fikiria tu kidogo huyu ni chalii tu wa Mtaani tu hata hatujui sisi, lkn eti amefurahi?!!

Mond kapiga kimyaa! ila sasa sisi tunawapa Makavu Mjue kuwa tunajua kinachoendelea!! Mond angeitwaa tu ile tuzo la mtego wa kichawi mjue ndo ungekuwa mwisho wa wasafi yoote mbaya!!

sometimes ukiwa na Mali, umaarufu, cheo kubwa unatakiwa uwe na Maarifa ya ziada juu ya Ulimwengu wa Giza wana jamii forum mie nawahusia sana mara kwa mara bila kinyongo,

Kwa mfano mtu utafurahia vipi maanguko ya Mtu usiye mjua? ndo maana wazaramo wanasema ''mchawi ndugu'' hao wana maana huyu mleta mada angekuwa na undugu na Mond tungesema '' Naam sasa yametimia!!

Mashabiki wetu muwe makini na hawa watu wa kuzimu.............Dawa yao hao akikuchanganya tu usijue pa kutokea wewe mtaje tu Yesu wa Nazareth!! wanakatikaga mbaya, sasa hapa nimetamka hivi hutawaona!
 
Back
Top Bottom