Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Nimefurahi Diamond kukosa tuzo

Acha kujidanganya wewe za uso umpe mama Dangote humjui hakujui ahahahahha team Kibakuli mnapenda kujiaminisha ujinga sana
Mie kwanza nlkua nna mda wa kumjibu, nlkua nasoma comments za wana, wakimpa makavu yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utachachawa sana, poleeeeh na hakna namna.
Unampa pole mwakilishi wa Africa Mashariki na kati huko BET ahahahahah ila team Kibakuli ni tatizo ahahahahaha
 
Mie kwanza nlkua nna mda wa kumjibu, nlkua nasoma comments za wana, wakimpa makavu yake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ni team Kibakuli wana hasira maana Ata tuzo za Zumari hawapo ahahahahha haha
 
Mie kwanza nlkua nna mda wa kumjibu, nlkua nasoma comments za wana, wakimpa makavu yake,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Hao ni team Kibakuli wana hasira maana Ata tuzo za Zumari hawapo ahahahahha haha
Mmasai wa hanang, kaangukia domo lake [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulitaka avae kanzu kama kibakuli ahahahhahah yule sio imamu wa msikiti , masai ni waafrika wenzetu hakuna tatizo
 
Na lile bwege linalozurura na mama dangote..
Linahusika vipi na diamond?
Kiasi cha kula maisha?
Yule nae ni baba wa kambo kama Mzee Abdul, tofauti yao baba yule wa kambo inaonekana mama Diamond amemkubali, hivyo basi kula mema ya nchi ni jambo la lazima
 
Yule nae ni baba wa kambo kama Mzee Abdul, tofauti yao baba yule wa kambo inaonekana mama Diamond amemkubali, hivyo basi kula mema ya nchi ni jambo la lazima
Yupi baba Mwenye thamani kwako,,aliyelea tangu mimba iliyokataliwa na anayesemekana ndy baba wa diamond,,au baba aliyekukuta ukubwani tayari una maisha yako..

Yupi anastahili kula maisha?
 
Kwani we ndo msemaji wa familia?

Mara ngapi waandishi wa habari wamekua wakionesha mazingira yake yalivyo duni kiasi cha kuto afford basic needs properly?
Wale wandishi ni wajanja wanauza Habari wewe usi pende saaana kuwaamini utapotea!! mkoani mna matatizo sana!! na km ukiwa wa Dar basi unaishi kureee!! pugu milimani
 
Yupi baba Mwenye thamani kwako,,aliyelea tangu mimba iliyokataliwa na anayesemekana ndy baba wa diamond,,au baba aliyekukuta ukubwani tayari una maisha yako..

Yupi anastahili kula maisha?
Thamani wanajua mtoto na mama yake maana wao ndio wanamjua huyo baba, hoja yangu tusilazimishe baba wa kambo kupewa sifa ya baba mzazi ni watu wawili tofauti
 
Tatizo la Diamond ni Show off za kishamba!
Kila mahala anataka kuprove yeye anapesa! Huo ni ujinga utakaomuangusha!
Hata Mungu hapendi wajikwezao!
Maana ajikwezae hushushwa!

Anachoshindwa kuelewa shughuli ni watu, na watu ukiwaonesha jeuri wanapita hivi!

Mbona matajiri wengi tu hapa bongo wanampunga mrefu hadi wanaumwa lakini wapo kimya?.

Mara ajitangazie wasafi yake, wakati kina kusaga na mkewe wamekaa kimya tu, No need to prove ur rich!...
Siku kusaga akitangaza hadharani hisa zake za wasafi 58% na mkewe kusaga 32% na diamond 10% Ataficha wapi sura yake?

Kwanza diamond hizo safari za inje anapopita airport madansa wake wana mibegi mizito yanini?
Achunguzwe sana asijekuwa anasafirisha madawa kwa mgongo was usanii
Hapo mwisho ndio kulipompa pesa sasa
 
Thamani wanajua mtoto na mama yake maana wao ndio wanamjua huyo baba, hoja yangu tusilazimishe baba wa kambo kupewa sifa ya baba mzazi ni watu wawili tofauti
Hivi yupi bora?
Kati ya baba wa kambo aliyelea mimba ya mama dangote tangu changa?
Na kuendelea kutunza falimy hata baada ya kujifungua Au baba mzazi aliyekataa mimba?
 
Hivi yupi bora?
Kati ya baba wa kambo aliyelea mimba ya mama dangote tangu changa?
Na kuendelea kutunza falimy hata baada ya kujifungua Au baba mzazi aliyekataa mimba?
Baba mzazi hakukataa mimba Kwahiyo huu mfano wako hauna uhalisia, mama ndio alifanya siri maana alichiti, sasa baba wa kambo anapodai huduma kwenye vyombo vya habari utafikiri mtoto ni damu yake inachekesha sanaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Huyu mjomba anavyopenda show off, nimeona mavideo huko YouTube anapewa hugs na Swizz beat, Alicia Keys, Dj Khaleed, Rick Ross. Yaani hao watu we huwezi kuwasogelea hata mita tano tu. Hizi chuki nyingine ni ukosefu wa elimu tu. Na ndio mtaburuzwa sana kwa upumbavu wenu
 
Back
Top Bottom