Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Unafanyia promotion IDs zako mwenyewe.Huyu ni miongoni mwa member kijana ambaye alikuwa na mchango mkubwa katika mijadala mbalimbali Jf katika kujenga hoja za nguvu na michango chanya ya kuelimisha , ushauri na ukombozi wa kifikra.
Kipindi cha kati alipotea baada ya kumkuta soo hapa Jf team Mafia kufanya yao ila sasa naona karejea tena . Hii na faraja kubwa sana kwa wale wapenda madini Jf na tunamkaribisha tena mwamba hayaland 30rd
Hii ni sawa sawa na mtu kunyetuka, yaani ana-assume kama analomba pisi Kali kumbe analomba mkono wake.Unafanyia promotion IDs zako mwenyewe.
Wenzako wakina ngara23 Lamomy Mpaji Mungu UMUGHAKA hydroxo nk washakubaliana kuwa Mimi ni GENTAMYCINE .Unafanyia promotion IDs zako mwenyewe.
Inasikitisha sanaHii ni sawa sawa na mtu kunyetuka, yaani ana-assume kama analomba pisi Kali kumbe analomba mkono wake.
Yupo sana daily anajiita Herbalist Dr MziziMkavuHiv mzizimkavu nae yupo aiseee kitambo
Jamaa ni open minded sana na ni mtu wa misimamo kama Robert Heriel Mtibelidude is back halafu cha kufurahisha ni Team amani, ameshaanza kuwakalisha watu chini
personally namkubali sana yupo vizuri up stairs
Tunasamehe yaliyopita
π€£π€£π€£π€£Wenzako wakina ngara23 Lamomy Mpaji Mungu UMUGHAKA hydroxo nk washakubaliana kuwa Mimi ni GENTAMYCINE .
Sasa kama kila nikimsifia member ni ID yangu Kaa mkijua kila siku lazima niandike uzi wa kumsifia Mwana Jf maana napenda sana appreciation sasa kwa mwendo huo mtahisi Jf nzima ni akaunti zangu
Mtibeli huwa ana upuuzi flani hiviJamaa ni open minded sana na ni mtu wa misimamo kama Robert Heriel Mtibeli
Pamoja sana mkuu .
ππMwana nilitaka kumuagiza kontena Kabisa kumbe ilikuwa miyeyusho sana ningejichanganyaNchi ishakua ngumu hii, hadi watu wazima wanakua machawa njaa mbaya
Aah aah.Pamoja sana mkuu .
Kuanzia wiki ijayo nataka niwe naanzisha nyuzi za kukusifia wewe ili watu waseme kuwa najipa Promo.
Kaka nilitaka kujichanganya kumbe yule mwana mwenye kontena yupo zake Twitter x kule ndio nikapata kontena afu masta kile kitiki chake cha bluu kimefyekwaIla jamaa kauzu balaa.
Juzi kati nimeona kaposti makontena yake hana habari.
Kakauka kama hajui kilichotokea.