Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
JPM na Vice Pred siyo hawandisi labda kama unataka kujipendekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiambiwa asilimia kubwa kwa dawa tunazo ziita za magharibi zinatokana na miti shamba iliyo kuwa analysed na wana sayansi kujuwa composition zilizomo kwenye dawa za miti shamba na baadae waka-synthesize dawa hizo hizo kwenye form ya vidonge na vimiminka, wasio juwa ukweli ndio wanabeza beza madawa ya miti shamba na nyungu - eti huo ni ushamba - waswahili bwana!! Wataisema vibaya NIMRI, wataalamu wetu wa kisayansi ya kitabibu - eti wataalamu gani wanapigia debe dawa za miti shamba - nimeamini kumbe walio sema ujinga ni mzigo walikuwa sahihi kabisa.ETI mwanasayansi anaemini NYUNGU NA NIMCARF(Hata linavyoadikwa sijui)
Tatizo huyo political scientist wako ame prove mara nyingi elimu yake ya chuoni aliiacha kwenye vitabu library, pale lumumba alikuwa anafanya kazi kama political amateur.
Na hao wahandisi unaowasifia wote wamewekeza kwenye nyungu, mambo ni mengi muda mchache.
JPM na Vice Pred siyo hawandisi labda kama unataka kujipendekeza
Cv zipi ambazo wengine hatuna bibiye?Kujipendekeza? Nimekwambia nina CV zao. Najua carrier growth path zao. Labda niongeze hivi: a social scientist who has climbed the education ladder via NACTE-like path is equivalent to a scientist at the level of thinking...
Cv zipi ambazo wengine hatuna bibiye?
Fedha za wizi zinakuwa na invoice?Leta copy ya invoice ya biashara hiyo, vinginevyo kwea pipa ukajiunge na Antipasu twajua huyo ndiye mentor wenu wa masuala ya uongo!
Acha uchizi wewe umesema unaCV zao za uhandisi ndo tunazitaka tuzioneWeka hapa ulizo nazo tuone
Wanasayansi wasio amini sayansi unadhani wanaweza kuyaamini mawazo ya mwanasiasa aliyesoma political science, science isiyo na maabara?
Mbele ya safari utasikia pamoja na u lecturer alikuwa "afisa kipenyo"Kada wa ccm kwenda kwenye utumishi wa umma mh inatia simanzi sana
Mhandisi ndio Engineer,ila vila.za kama huyu Mama Amon (Covid 19) anadhani kila mtu ni Mhandisi ili mradi awe anabwabwaja kuhusu Ujenzi.Kunawakati huwa narudi kwenye kiingereza kuelewa kiswahili. Hivi
Mhandisi ndiyo Engineer?
Nadhani simu yake inaugonjwa wa kutetemeka. Najiuliza Kama huyu mwalimu wa chuo, hawezi kujua maana ya Engineer, (mhandisi) huko anafundisha nini?Mhandisi ndio Engineer,ila vila.za kama huyu Mama Amon (Covid 19) anadhani kila mtu ni Mhandisi ili mradi awe anabwabwaja kuhusu Ujenzi.
Haya pia ni maneno yanayowasumbua sana Watanzania vi.laza tofauti ya Engineer na Contractor!