Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

ETI mwanasayansi anaemini NYUNGU NA NIMCARF(Hata linavyoadikwa sijui)
Ukiambiwa asilimia kubwa kwa dawa tunazo ziita za magharibi zinatokana na miti shamba iliyo kuwa analysed na wana sayansi kujuwa composition zilizomo kwenye dawa za miti shamba na baadae waka-synthesize dawa hizo hizo kwenye form ya vidonge na vimiminka, wasio juwa ukweli ndio wanabeza beza madawa ya miti shamba na nyungu - eti huo ni ushamba - waswahili bwana!! Wataisema vibaya NIMRI, wataalamu wetu wa kisayansi ya kitabibu - eti wataalamu gani wanapigia debe dawa za miti shamba - nimeamini kumbe walio sema ujinga ni mzigo walikuwa sahihi kabisa.
 
Tatizo huyo political scientist wako ame prove mara nyingi elimu yake ya chuoni aliiacha kwenye vitabu library, pale lumumba alikuwa anafanya kazi kama political amateur.

Na hao wahandisi unaowasifia wote wamewekeza kwenye nyungu, mambo ni mengi muda mchache.
 
JPM na Vice Pred siyo hawandisi labda kama unataka kujipendekeza

Kujipendekeza? Nimekwambia nina CV zao. Najua carrier growth path zao. Labda niongeze hivi: a social scientist who has climbed the education ladder via NACTE-like path is equivalent to a scientist at the level of thinking...
 
Kujipendekeza? Nimekwambia nina CV zao. Najua carrier growth path zao. Labda niongeze hivi: a social scientist who has climbed the education ladder via NACTE-like path is equivalent to a scientist at the level of thinking...
Cv zipi ambazo wengine hatuna bibiye?
 
Makamu na PM nao walikuwa wahandisi? He, kwasasa tunataka watendaji au wanasiasa?
Hamna bznez admin. hapo labda admin mrushaungo
 
Kinachomkwamishwa hiyo politiko sayansi aliosomea sio anayoitumia yeye kaiacha kaenda kutumia /kuamini ile ya kalumanzila zaidi
 
Mama Amon kumbe wewe ni kila.za wa kutupwa!! Hujui hata maana ya Uhandisi?! Ulikuwa unafundisha vila.za wa wapi hao?!
Magufuli ni Mhandisi?! Majaliwa ni Mhandisi?! na Mama Samiah ni Mhandisi?! Kasi ya ujinga miongoni mwa Watanzania inaongezeka with speed of light!
 
Kunawakati huwa narudi kwenye kiingereza kuelewa kiswahili. Hivi
Mhandisi ndiyo Engineer?
Mhandisi ndio Engineer,ila vila.za kama huyu Mama Amon (Covid 19) anadhani kila mtu ni Mhandisi ili mradi awe anabwabwaja kuhusu Ujenzi.
Haya pia ni maneno yanayowasumbua sana Watanzania vi.laza tofauti ya Engineer na Contractor!
 
Mhandisi ndio Engineer,ila vila.za kama huyu Mama Amon (Covid 19) anadhani kila mtu ni Mhandisi ili mradi awe anabwabwaja kuhusu Ujenzi.
Haya pia ni maneno yanayowasumbua sana Watanzania vi.laza tofauti ya Engineer na Contractor!
Nadhani simu yake inaugonjwa wa kutetemeka. Najiuliza Kama huyu mwalimu wa chuo, hawezi kujua maana ya Engineer, (mhandisi) huko anafundisha nini?

Kama mama Amoni, anafaa kurudi darasa la kwanza ajenge msingi upya.
 
Mama Amon nilikumiss.. i am glad you back. But probably i was the one who M.I.A

Bashiru atasaidia ku create balance iliyokosekana ikulu kwa muda mrefu.. balancing hard stance ya JPM Vs matters that need politics to resolve.. hilo la kwanza..

Ila nina mashaka sana na uwezo wa Bashiru kwenye ku deal na wataalamu.. CS ni katibu mkuu wa makatibu wakuu (Interministerial Technical Committee IMTC). Bado naangalia namna atakavyowamudu ikizingatia japokia alikua mkufunzi mwandamizi udsm, Bashiru hana uzoefu mpana sana kwenye itifaki za kiserikali. Anaweza kuwa bora maana anafundishika kwa haraka au pia anaweza haribu sana maana anafikiria mara zote kwa mrengo wa kisiasa. Tunasubiri tuone ata deal vipi na hili.
 
Back
Top Bottom