Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

Pamoja hujaeleza Timu ya Big Four ya awali ilikuwa ya Wahandisi wa fani zipi lakini inaonekana ilikuwa Timu ya Watalaamu waliobobea. Timu ya Big Four mpya inayopongezwa humu ni ya Makada wa Chama mfu cha vilaza cha CCM kinakabithiwa kiholela kuongoza Serikali kama vijana wadogo wa kiume wote wanajua kuchunga kwa hiyo wanakabithiwa mifugo. Afadhali Mhandisi hata wa kukaangiza kuliko Kada!
 
Twende kusomi: kwanza ondoa neno ushirikina. Halihusiki. Kununua wapinzani ni kitendo kinachoungwa mkono na political theories kadhaa. Unakumbuka baadhi?
Asante kwa kukubali kuwa huwa mnanunua, tatizo lenu mnatumia pesa za walipa kodi, acheni huo mchezo muwe mnatumia pesa zenu wenyewe.
Leta copy ya invoice ya biashara hiyo, vinginevyo kwea pipa ukajiunge na Antipasu twajua huyo ndiye mentor wenu wa masuala ya uongo!
Muulize mwenzio hapo juu akwambie kama huwa mnatoa invoice au hamtoi, kibuyu.
 
Kwa kuku-refresh memory yako, Dr. Bashiru aliwahi kutamka "HATOKUBALI UTEUZI WOWOTE IKITOKEA AMETEULIWA". Video zipo kama kumbukumbu. Ila kesho anameza matapishi yake.

Huwajui wanasiasa maneno na vitendo vyao
 
Sina wasi wasi naye ataenda kuleta chemistry nzuri ya kiuongozi na kisiasa maana huyo ni Gwiji wa siasa.
 
Mama Amon nakushauri ubakie kwenye field yako ya business administration tu, kwenye siasa hapakufai.

Dk. Ally Bashiru alivyokua UDSM alikuwa anaitendea haki PhD yake ya Political Science, ila baada ya kuteuliwa tu akawa kigugumizi. Sasa ameteuliwa hio nafasi ndio atakuwa zero kabisaaaa. Ref: Prof Polepole nae.

Kwa kuku-refresh memory yako, Dr. Bashiru aliwahi kutamka "HATOKUBALI UTEUZI WOWOTE IKITOKEA AMETEULIWA". Video zipo kama kumbukumbu. Ila kesho anameza matapishi yake.

In short; Hio team unayoisema hata kama ina wachezaji wenye vipaji tofauti tofauti kama Messi na Ronaldo, kama hakuna sheria za kufuatwa uwanjani, basi wachezaji wote wataishia kuwa "INJURED/MAJERUHI".

Kwa lugha nyepesi, hata ateuliwe nani katika nafasi yoyote kwenye serikali hii, as far as sheria hazifuatwi na hakuna katiba mpya yenye kuwalinda wasitoke nje ya madaraka yao = Kazi bure, wote wataonekana vituko na hawana maana.
Kuna Bashiru wawili. Bashiru mwana taaluma. Huyu Bashiru ni mtu mwenye mawazo huru. Kazi yake ni kufundisha na kutafiti kwa kutumia nadharia mbalimbali. Bashiru mwanataaluma hafanyi kazi chini ya mtu na kazi yake haikaguliwa na mtu mwingine.Bashiru wa pili ni Bashiru katibu mkuu wa CCM au katibu mkuu Kiongozi anafanya kazi chini ya mwenyekiti wa CCM/raisi. Anapofanya kazi anaongozwa na sheria na taratibu za kazi yake. Pamoja na kuwa ana uhuru kiasi fulani lakini huo uhuru unafuata sheria na madaraka yake na kazi yake inakaguliwa na mkuu wake wa kazi.

Hiyo hali hapo juu si kwa Bashiru tu, bali wanataaluma wote waliyowahi kuteuliwa na watakaoteuliwa kufanya kazi za siasa na utawala. Hao watu wanatoka kwenye taaluma ambapo walikuwa na uhuru mwingi wa kufikiri, kutafiti, na kufikia majibu. Kazi zao za kitaaluma zilikuwa zinasomwa na wanataaluma wenzao na kutoa critique wapi labda wamekosea au nini wamesahau. Pia huweza kutetewa na wengine ambao wanaziona hizo critique siyo sahihi. Pia unaweza kusema kuwa mtu anapoteuliwa kwenye kazi mpya inabidi afuate ya kazi mpya na siyo yale ya kazio aliyokuwa nayo, kama kazi hizo hazifanani.
 
Wakati unaendelea kutafiti hebu pitia video hii

View attachment 1712635
Nimeisikiliza na kuielewa. Yeye amesema hatakubali kuteuliwa kufanya kazi nyingine ya CCM. Yeye kateuliwa kuwa mtumishi wa serkali sasa hapo kaongopa. Ninyi mlidhania atafia kwenye kazi ya ukatibu mkuu wa CCM. Mtu kijana kama huyu hawezi kusema hatakubali kuteuliwa kazi yoyote. Yeye atakula wapi akikataa kuteuliwa hasa kama ataipoteza kazi ya CCM. Kasema wazi, hatakubali kuteuliwa kazi ya CCM. Kazi za utumishi wa serkali siyo kwa wana CCM pekee bali waTZ wote wakiwemo CCM na upinzani.
 
Mama Amon nilikumiss.. i am glad you back. But probably i was the one who M.I.A

Bashiru atasaidia ku create balance iliyokosekana ikulu kwa muda mrefu.. balancing hard stance ya JPM Vs matters that need politics to resolve.. hilo la kwanza..

Ila nina mashaka sana na uwezo wa Bashiru kwenye ku deal na wataalamu.. CS ni katibu mkuu wa makatibu wakuu (Interministerial Technical Committee IMTC). Bado naangalia namna atakavyowamudu ikizingatia japokia alikua mkufunzi mwandamizi udsm, Bashiru hana uzoefu mpana sana kwenye itifaki za kiserikali. Anaweza kuwa bora maana anafundishika kwa haraka au pia anaweza haribu sana maana anafikiria mara zote kwa mrengo wa kisiasa. Tunasubiri tuone ata deal vipi na hili.
Emperor's analysis is balanced and excellent.
 
Nimeisikiliza na kuielewa. Yeye amesema hatakubali kuteuliwa kufanya kazi nyingine ya CCM. Yeye kateuliwa kuwa mtumishi wa serkali sasa hapo kaongopa. Ninyi mlidhania atafia kwenye kazi ya ukatibu mkuu wa CCM. Mtu kijana kama huyu hawezi kusema hatakubali kuteuliwa kazi yoyote. Yeye atakula wapi akikataa kuteuliwa hasa kama ataipoteza kazi ya CCM. Kasema wazi, hatakubali kuteuliwa kazi ya CCM. Kazi za utumishi wa serkali siyo kwa wana CCM pekee bali waTZ wote wakiwemo CCM na upinzani.
Nafasi zote sasa ni za makada
 
You are advised to qualify your claim. Mie naona kuna ma-nadharia fulani ameyaleta field mwaka jana yakatusumbua sana. Nadhani ma-theory hayo ndo yamempiga tafu hadi uteuzi huu. Naendelea na utafiti.

Utazeeka na utafiti usio na maana, utafiti wa nadharia, hivi unajua utafiti au unafanya joking tu, ur lost in a jungle.
 
You are advised to qualify your claim. Mie naona kuna ma-nadharia fulani ameyaleta field mwaka jana yakatusumbua sana. Nadhani ma-theory hayo ndo yamempiga tafu hadi uteuzi huu. Naendelea na utafiti.
unatoa matokeo ya utafiti wako nusunusu Mama Amon .Ukifika mwisho wa utafiti wako utafuta hayo matokeo yako ya awali
 
Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja.

Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork.

Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na vinavyokamilishana.

Hapo awali Nimekuwa naona kuwa THE BIG FOUR (RAIS, MAKAMU RAIS, PM na KATIBU MKUU KIONGOZI) haikuwa timu bora pale Ikulu. Wote nina CV zao.

Almost, tulikuwa na IKULU inaongozwa na wahandisi watupu. Sasa ameingia political scientist.

Matarajio yangu ni kwamba ataifanya timu hii ya the BIG FOUR kuimarika zaidi.

Napongeza kwa sababu hiyo pekee. Mengine naendelea kuyatafiti.

Namkaribisha Dk Bashiru Sumbawanga nimfundishe kuendesha helikopta ya ungo katikati ya kimbunga.
Huenda umepatia sn kwani huyo ni muumini kindakindaki hatumii tena ubongo wake linapokuja Jambo toka kwa mkubwa ajenda kuu ile ya sanga ,nkamia nk iendelee.
 
Unamzungumzia huyu huyu ambae amerudia matapishi yake au mwingine?!,kinywa chake kimemponza kumbafuuuuu......zake.....[emoji30][emoji21]
 
Back
Top Bottom