Mama Amon nakushauri ubakie kwenye field yako ya business administration tu, kwenye siasa hapakufai.
Dk. Ally Bashiru alivyokua UDSM alikuwa anaitendea haki PhD yake ya Political Science, ila baada ya kuteuliwa tu akawa kigugumizi. Sasa ameteuliwa hio nafasi ndio atakuwa zero kabisaaaa. Ref: Prof Polepole nae.
Kwa kuku-refresh memory yako, Dr. Bashiru aliwahi kutamka
"HATOKUBALI UTEUZI WOWOTE IKITOKEA AMETEULIWA". Video zipo kama kumbukumbu. Ila kesho anameza matapishi yake.
In short; Hio team unayoisema hata kama ina wachezaji wenye vipaji tofauti tofauti kama Messi na Ronaldo, kama hakuna sheria za kufuatwa uwanjani, basi wachezaji wote wataishia kuwa
"INJURED/MAJERUHI".
Kwa lugha nyepesi, hata ateuliwe nani katika nafasi yoyote kwenye serikali hii, as far as sheria hazifuatwi na hakuna katiba mpya yenye kuwalinda wasitoke nje ya madaraka yao = Kazi bure, wote wataonekana vituko na hawana maana.