Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Habari wakuu,
Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5.
Sasa ni wakati sahihi pia amwambie Rais wa Fifa kwamba na Wenyewe wameshikilia Bomba huku pande za Algeria.... Ila bomba lilikuwa la moto sana Limebabua vidole vitatu havitamaniki.
Kesho ni wakati sahihi kwa viongozi wote wa Yanga pamoja na Mashabiki wanunue Madaftar Na Peni pamoja na Rula ndefu ili wapate somo kutoka kwa Simba namna ya Kucheza haya mashindano na Kushinda.
Baada ya Hapo pia itakapofika mechi ya Simba na Wydad mtakaribishwa kwa mkapa ili mjifunze Somo jingine la "Jinsi ya kumdhibiti Mwarabu anapoingia Nyumbani kwako"
Angalizo: Haya mashindano yanaweza kumfukuzisha Kipara Kazi 🤣