Nimefurahishwa sana na Kipigo Walichopokea Yanga kutoka kwa Belouizdad

Habari wakuu,

Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5.

Sasa ni wakati sahihi pia amwambie Rais wa Fifa kwamba na Wenyewe wameshikilia Bomba huku pande za Algeria.... Ila bomba lilikuwa la moto sana Limebabua vidole vitatu havitamaniki.

Kesho ni wakati sahihi kwa viongozi wote wa Yanga pamoja na Mashabiki wanunue Madaftar Na Peni pamoja na Rula ndefu ili wapate somo kutoka kwa Simba namna ya Kucheza haya mashindano na Kushinda.

Baada ya Hapo pia itakapofika mechi ya Simba na Wydad mtakaribishwa kwa mkapa ili mjifunze Somo jingine la "Jinsi ya kumdhibiti Mwarabu anapoingia Nyumbani kwako"

Angalizo: Haya mashindano yanaweza kumfukuzisha Kipara Kazi [emoji1787]View attachment 2824045
Hii haitoi maana kua ulikula Kono la nyani Toka Kwa mtani .

Hayo matokeo ya Yanga kufungwa yatasahaulika muda c mrefu ,. Lakini haya Yako kusahaulika itachukua muda kidogo
 
Nyie bado mnakumbuka kono la nyani kwa nunge mpk leo mlilolishwa na mnyama( 5 kwa 0)? Je lile kono la kilema( 6 kwa 0) bado mnakumbuka??? Kama mnakumbuka basi sawaaaaa...
 
Siwezi kukumbuka vitu ambavyo sikuvishuhudia mkuu
 
Hii ni kama kisherehekea unaposikia aliyekukunguta akakungoa jino, Leo kazabwa Kofi na Jirani Yako.
 
Habari wakuu,

Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5.

Sasa ni wakati sahihi pia amwambie Rais wa Fifa kwamba na Wenyewe wameshikilia Bomba huku pande za Algeria.... Ila bomba lilikuwa la moto sana Limebabua vidole vitatu havitamaniki.

Kesho ni wakati sahihi kwa viongozi wote wa Yanga pamoja na Mashabiki wanunue Madaftar Na Peni pamoja na Rula ndefu ili wapate somo kutoka kwa Simba namna ya Kucheza haya mashindano na Kushinda.

Baada ya Hapo pia itakapofika mechi ya Simba na Wydad mtakaribishwa kwa mkapa ili mjifunze Somo jingine la "Jinsi ya kumdhibiti Mwarabu anapoingia Nyumbani kwako"

Angalizo: Haya mashindano yanaweza kumfukuzisha Kipara Kazi 🤣View attachment 2824045
Wewe ujitambui ata unachokiandika ukijui, unaposema Simba ndio anajua kucheza iyo michuano ni lini mliwai kushinda ugenini kwa miaka yote ambayo mmeingia robo fainali? Ushindi wenu wote mliupata kwa mkapa kwa maana iyo usubilie yanga apoteze nyumbani ndio ufanye sherehe vinginevyo yanga Ana uwezo mkubwa wa kufanya vizuri mechi zinazofata kutokana na ratiba yake ilivyo, mechi 3 nyumbani na 2 ugenini ivyo ni mahesabu tu ambayo yatawavusha kwa kikosi walichonacho kupoteza dhidi ya belouzdad sio kipimo Cha kuiondoa yanga kwenye mbio za kuvuka robo fainali
 
Una miaka mingapi?Linapokuja maswala ya kmataifa tunatetea Taifa

Rais wetu wa nchi hata akitulaza njaa lakini kwenye mambo ya kimataifa tunamtetea tu

Mambo ya simba ,uyanga ,uazam au usingida ni mambo ya ndani na utani wa ndani

Simba akifanya vizuri inahesabika ni Tanzania

Wewe mwenyewe umekiri waarabu hujasema Belouizdad au al Ahly au pyaramid,Umesifia ukanda wao na asili yao ya uarabu

Tunahitaji na sisi waarabu waseme timu za Afrika masharika zinatisha

Kufungwa kwa Yanga au Simba ni kilio kwa Afrika mashariki nzima

Mkuu nyie ndio inabidi muende JKT kwa nguvu mkajifunze maana ya Taifa likiwa vitan

Samia akizomewa ulaya au Mtanzania akipigwa bomu huko Gaza sio swala la ccm au Chadema ni suala la msimamo wa kitaifa kuongea na kukemea

Sasa wewe kama mzazi wako amejikojolea mbele za watu unamcheka kisa alikupiga ukiwa mtoto uende shule utakuwa mpumbavu

Anaesubiri Simba kufungwa na Asec huyo ana matatizo ya afya ya akili bila yeye kujijua

Taifa linapambana lifahamike na watu wake wafahamike ,Jitu linafikiria maisha ni Tanzania tu
Labda huwajui yanga wewe hakuna timu yenye.mashabiki wa hovyo Kama Yanga, ingekuwa sio mechi ya Jana wangekwenda airport kuwapokea wageni wa.mechi ya leo tena kwa ngoma na tarumbeta halafu wanajazana uwanjani wakiwazomea Simba hawaelewi utaifa ni nini Mimi mwenyewe roho yangu kwatu, wamefungwa mara ngapi na Simba 6,4,5 hakuna bwebwe za kijinga Kama hizi, acha akili iwakae, sasa lawama kwa kipa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Habari wakuu,

Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5.

Sasa ni wakati sahihi pia amwambie Rais wa Fifa kwamba na Wenyewe wameshikilia Bomba huku pande za Algeria.... Ila bomba lilikuwa la moto sana Limebabua vidole vitatu havitamaniki.

Kesho ni wakati sahihi kwa viongozi wote wa Yanga pamoja na Mashabiki wanunue Madaftar Na Peni pamoja na Rula ndefu ili wapate somo kutoka kwa Simba namna ya Kucheza haya mashindano na Kushinda.

Baada ya Hapo pia itakapofika mechi ya Simba na Wydad mtakaribishwa kwa mkapa ili mjifunze Somo jingine la "Jinsi ya kumdhibiti Mwarabu anapoingia Nyumbani kwako"

Angalizo: Haya mashindano yanaweza kumfukuzisha Kipara Kazi [emoji1787]View attachment 2824045

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua sijui kama kufungwa alafu utaniwe, inauma hivi.

Sitawatania tena simba kama maumivu mnayoyapata ni kama haya niyapatayo mimi leo
 
Ina maana wewe ni mgeni yanga hadi uumie? Wenzio wamezoe kufungwa ni hii miaka miwili mitatu ndio wameanza nyodo ni wafungwaji wazuri tu mbona, tena hasa kimataifa [emoji3][emoji3] weupe sana ya kimataifa hakukuwa na.litimu libovu kama Yanga, Tania tu ndio maana ya utani wa jadi
 
Walimanuliwa kisawasawa hasa
IMG_1655.jpg
 
Una miaka mingapi?Linapokuja maswala ya kmataifa tunatetea Taifa

Rais wetu wa nchi hata akitulaza njaa lakini kwenye mambo ya kimataifa tunamtetea tu

Mambo ya simba ,uyanga ,uazam au usingida ni mambo ya ndani na utani wa ndani

Simba akifanya vizuri inahesabika ni Tanzania

Wewe mwenyewe umekiri waarabu hujasema Belouizdad au al Ahly au pyaramid,Umesifia ukanda wao na asili yao ya uarabu

Tunahitaji na sisi waarabu waseme timu za Afrika masharika zinatisha

Kufungwa kwa Yanga au Simba ni kilio kwa Afrika mashariki nzima

Mkuu nyie ndio inabidi muende JKT kwa nguvu mkajifunze maana ya Taifa likiwa vitan

Samia akizomewa ulaya au Mtanzania akipigwa bomu huko Gaza sio swala la ccm au Chadema ni suala la msimamo wa kitaifa kuongea na kukemea

Sasa wewe kama mzazi wako amejikojolea mbele za watu unamcheka kisa alikupiga ukiwa mtoto uende shule utakuwa mpumbavu

Anaesubiri Simba kufungwa na Asec huyo ana matatizo ya afya ya akili bila yeye kujijua

Taifa linapambana lifahamike na watu wake wafahamike ,Jitu linafikiria maisha ni Tanzania tu
Wewe ndie unapaswa useme una umri gani maana hujui hata derby au utani maana ake nini, hakunaga uzalendo kwenye utani, kwani waliokuwa wanapokea wageni airport hamkuwa nyie yanga au hukuwa umezaliwa
 
Ulipaswa kujiuliza kwanini Serikali ilitoa milioni kumi kwa kila goli au mara nyingine milioni tano ,Unafahamu lengo lake ?

Wewe ndie umeandika uchafu sasa,Aliyekujibu ana maanisha huna uzalendo kwa Taifa lako

Watu wajinga mara nyingi wanatumika kisiasa bila wao kujijua

Aliyekujibu anakufundisha lazima utofautishe mambo ya ndani ya nchi na mambo ya nje ya nchi

Mpira kama mpira sio mchezo wa kawaida kama unavyofikiria wewe,Ni mchezo ambao umetumika miaka mingi kupitisha agenda za kisiasa na za kibaguzi kwa kuonyesha Taifa fulani lina watu wengi lakini uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana

Yanga na Simba ,Usifikirie Serikali inapotoa milioni kumi kwa kila goli ni wapumbavu

Nguvu za ushawishi wa Marekani nyingi amezipata kwenye Teknolojia na Ubunifu na anapambana kwenye basket ball kwa kuanzisha na taasisi Afrika kukuza mchezo huo

Ungekuwa na Exposure ya kuishi nje ya nchi hata kwa mwaka ungefeel kinachoongelewa,Ukiwa nje ya nchi yako kumejaa upweke sana na Mechi kama za kimataifa ,Taifa lako likishinda unapata nguvu sana mbele za Raia wengine
Wewe mwenye exposure umewahi kuwaona man u wanamshambikia liver akikipiga na psg au Barca, vipi wydad pale raja anapokuwa kimataifa, nitajie timu au nchi ambako klabu hasimu husapotiana kwenye international games, ukishindwa kutaja futa kauli yako
 
Wewe ujitambui ata unachokiandika ukijui, unaposema Simba ndio anajua kucheza iyo michuano ni lini mliwai kushinda ugenini kwa miaka yote ambayo mmeingia robo fainali? Ushindi wenu wote mliupata kwa mkapa kwa maana iyo usubilie yanga apoteze nyumbani ndio ufanye sherehe vinginevyo yanga Ana uwezo mkubwa wa kufanya vizuri mechi zinazofata kutokana na ratiba yake ilivyo, mechi 3 nyumbani na 2 ugenini ivyo ni mahesabu tu ambayo yatawavusha kwa kikosi walichonacho kupoteza dhidi ya belouzdad sio kipimo Cha kuiondoa yanga kwenye mbio za kuvuka robo fainali
Ni lini simba alishinda ugenini? Are you serious? Una akili timamu,? Umezaliwa mwaka jana?

Nimeshangaa kuona mtoto uliyezaliwa mwaka jana inamiliki simu na kuwa hapa jukwaani,

Kwanini nasema hivyo, kama hujazaliwa mwaka jana basi utakubaliana na mimi kuwa kwenye robo fainali ulizozitaja mojawapo simba aliingia robo akiongoza kundi dhidi ya Al ahly, El Mereikh na as vita. Je hukushudia namna simba alivyokusanya zile point 13?

Au kuna uwezekano wa kushinda kwa mkapa pekee na ukapata point 13?

Kama umezaliwa kabla ya mwaka jana utakuwa unajua ukweli ila inajitia wazimu
 
Furaha Ya Yanga Kufungwa inasababishwa na zile goli 5 mlizopigwa, Ruksa kujifariji🤣
 
Back
Top Bottom