Nimefurahishwa sana na Kipigo Walichopokea Yanga kutoka kwa Belouizdad

Nimefurahishwa sana na Kipigo Walichopokea Yanga kutoka kwa Belouizdad

Teh teh teh
 

Attachments

  • Screenshot_20231119-203329.jpg
    Screenshot_20231119-203329.jpg
    109.8 KB · Views: 2
IHEFU analalamika huko utwopinyo kawasaliti na muarabu na kaharibiwa vibaya vibaya yani kachanwa chanwa sehemu zake za kificho
 
Kulia kupokezana, leo sijaona madela yao
 
Una miaka mingapi?Linapokuja maswala ya kmataifa tunatetea Taifa

Rais wetu wa nchi hata akitulaza njaa lakini kwenye mambo ya kimataifa tunamtetea tu

Mambo ya simba ,uyanga ,uazam au usingida ni mambo ya ndani na utani wa ndani

Simba akifanya vizuri inahesabika ni Tanzania


Wewe mwenyewe umekiri waarabu hujasema Belouizdad au al Ahly au pyaramid,Umesifia ukanda wao na asili yao ya uarabu

Tunahitaji na sisi waarabu waseme timu za Afrika masharika zinatisha

Kufungwa kwa Yanga au Simba ni kilio kwa Afrika mashariki nzima

Mkuu nyie ndio inabidi muende JKT kwa nguvu mkajifunze maana ya Taifa likiwa vitan

Samia akizomewa ulaya au Mtanzania akipigwa bomu huko Gaza sio swala la ccm au Chadema ni suala la msimamo wa kitaifa kuongea na kukemea

Sasa wewe kama mzazi wako amejikojolea mbele za watu unamcheka kisa alikupiga ukiwa mtoto uende shule utakuwa mpumbavu

Anaesubiri Simba kufungwa na Asec huyo ana matatizo ya afya ya akili bila yeye kujijua

Taifa linapambana lifahamike na watu wake wafahamike ,Jitu linafikiria maisha ni Tanzania tu
Uko vizuri mkuu. Hii ni akili KUBWA Sana[emoji817][emoji3581][emoji122]
 
Habari wakuu,

Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5.

Sasa ni wakati sahihi pia amwambie Rais wa Fifa kwamba na Wenyewe wameshikilia Bomba huku pande za Algeria.... Ila bomba lilikuwa la moto sana Limebabua vidole vitatu havitamaniki.

Kesho ni wakati sahihi kwa viongozi wote wa Yanga pamoja na Mashabiki wanunue Madaftar Na Peni pamoja na Rula ndefu ili wapate somo kutoka kwa Simba namna ya Kucheza haya mashindano na Kushinda.

Baada ya Hapo pia itakapofika mechi ya Simba na Wydad mtakaribishwa kwa mkapa ili mjifunze Somo jingine la "Jinsi ya kumdhibiti Mwarabu anapoingia Nyumbani kwako"

Angalizo: Haya mashindano yanaweza kumfukuzisha Kipara Kazi 🤣View attachment 2824045
Alafu umesahau mechi yao na al ahly sisi al ahly tutakuepo kuwapa kile wana stahili
 
Back
Top Bottom