Nimefurahishwa sana na Kipigo Walichopokea Yanga kutoka kwa Belouizdad

Hii haitoi maana kua ulikula Kono la nyani Toka Kwa mtani .

Hayo matokeo ya Yanga kufungwa yatasahaulika muda c mrefu ,. Lakini haya Yako kusahaulika itachukua muda kidogo
 
Hii haitoi maana kua ulikula Kono la nyani Toka Kwa mtani .

Hayo matokeo ya Yanga kufungwa yatasahaulika muda c mrefu ,. Lakini haya Yako kusahaulika itachukua muda kidogo
Nyie bado mnakumbuka kono la nyani kwa nunge mpk leo mlilolishwa na mnyama( 5 kwa 0)? Je lile kono la kilema( 6 kwa 0) bado mnakumbuka??? Kama mnakumbuka basi sawaaaaa...
 
Nyie bado mnakumbuka kono la nyani kwa nunge mpk leo mlilolishwa na mnyama( 5 kwa 0)? Je lile kono la kilema( 6 kwa 0) bado mnakumbuka??? Kama mnakumbuka basi sawaaaaa...
Siwezi kukumbuka vitu ambavyo sikuvishuhudia mkuu
 
Hii ni kama kisherehekea unaposikia aliyekukunguta akakungoa jino, Leo kazabwa Kofi na Jirani Yako.
 
Wewe ujitambui ata unachokiandika ukijui, unaposema Simba ndio anajua kucheza iyo michuano ni lini mliwai kushinda ugenini kwa miaka yote ambayo mmeingia robo fainali? Ushindi wenu wote mliupata kwa mkapa kwa maana iyo usubilie yanga apoteze nyumbani ndio ufanye sherehe vinginevyo yanga Ana uwezo mkubwa wa kufanya vizuri mechi zinazofata kutokana na ratiba yake ilivyo, mechi 3 nyumbani na 2 ugenini ivyo ni mahesabu tu ambayo yatawavusha kwa kikosi walichonacho kupoteza dhidi ya belouzdad sio kipimo Cha kuiondoa yanga kwenye mbio za kuvuka robo fainali
 
Labda huwajui yanga wewe hakuna timu yenye.mashabiki wa hovyo Kama Yanga, ingekuwa sio mechi ya Jana wangekwenda airport kuwapokea wageni wa.mechi ya leo tena kwa ngoma na tarumbeta halafu wanajazana uwanjani wakiwazomea Simba hawaelewi utaifa ni nini Mimi mwenyewe roho yangu kwatu, wamefungwa mara ngapi na Simba 6,4,5 hakuna bwebwe za kijinga Kama hizi, acha akili iwakae, sasa lawama kwa kipa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua sijui kama kufungwa alafu utaniwe, inauma hivi.

Sitawatania tena simba kama maumivu mnayoyapata ni kama haya niyapatayo mimi leo
 
Nilikua sijui kama kufungwa alafu utaniwe, inauma hivi.

Sitawatania tena simba kama maumivu mnayoyapata ni kama haya niyapatayo mimi leo
Ina maana wewe ni mgeni yanga hadi uumie? Wenzio wamezoe kufungwa ni hii miaka miwili mitatu ndio wameanza nyodo ni wafungwaji wazuri tu mbona, tena hasa kimataifa [emoji3][emoji3] weupe sana ya kimataifa hakukuwa na.litimu libovu kama Yanga, Tania tu ndio maana ya utani wa jadi
 
Wewe ndie unapaswa useme una umri gani maana hujui hata derby au utani maana ake nini, hakunaga uzalendo kwenye utani, kwani waliokuwa wanapokea wageni airport hamkuwa nyie yanga au hukuwa umezaliwa
 
Wewe mwenye exposure umewahi kuwaona man u wanamshambikia liver akikipiga na psg au Barca, vipi wydad pale raja anapokuwa kimataifa, nitajie timu au nchi ambako klabu hasimu husapotiana kwenye international games, ukishindwa kutaja futa kauli yako
 
Ni lini simba alishinda ugenini? Are you serious? Una akili timamu,? Umezaliwa mwaka jana?

Nimeshangaa kuona mtoto uliyezaliwa mwaka jana inamiliki simu na kuwa hapa jukwaani,

Kwanini nasema hivyo, kama hujazaliwa mwaka jana basi utakubaliana na mimi kuwa kwenye robo fainali ulizozitaja mojawapo simba aliingia robo akiongoza kundi dhidi ya Al ahly, El Mereikh na as vita. Je hukushudia namna simba alivyokusanya zile point 13?

Au kuna uwezekano wa kushinda kwa mkapa pekee na ukapata point 13?

Kama umezaliwa kabla ya mwaka jana utakuwa unajua ukweli ila inajitia wazimu
 
Furaha Ya Yanga Kufungwa inasababishwa na zile goli 5 mlizopigwa, Ruksa kujifariji🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…