Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Kwamba una maanisha watu wenye matumizi sahihi ya akili ni wale wanaokubaliana na mungu wako?
Hakuna ambaye anatumia akili sahihi na kufikiri kwa usahihi akapinga juu ya uwepo wa Mola muumba na haijawahi kutokea hii.
 
Hakuna ambaye anatumia akili sahihi na kufikiri kwa usahihi akapinga juu ya uwepo wa Mola muumba na haijawahi kutokea hii.
Hii ni personal perspective, ila ushawahi jiuliza dini zingine kinyume na yako zinakuchukuliaje wewe ambaye unapingana nao?

Zinskuchukulia mtu fulani mwenye akili au zube?

Sasa kipi kinachokufanya uone mtazamo wako kuhusu wasio amini mungu uwe bora zaidi kuliko mitazamo ya dini zingine dhidi yako?
 
Jifunze kupinga mambo kwa hoja nilichokiandika hakuna anaye weza kukipinga.

Dini nyingine kunichukulia waonavyo wao hilo siyo tatizo ndiyo maana tunaweka hoja mezani na kujadili ili kuona nani mkweli,haya yalianza tangu zama za mitume.
 
Sasa inakuwaje unanipotezea muda kujadili jambo ambalo huna ujuzi nalo ?
Mpaka hapa ushapoteza muda, kuongea vitu ambavyo hujaombwa uviongee

Nakupa nafasi tena ya kujibu, usipoteze muda
 
Mpaka hapa ushapoteza muda, kuongea vitu ambavyo hujaombwa uviongee

Nakupa nafasi tena ya kujibu, usipoteze muda
Naona umeanza kuruka ruka sasa, kati yangu mimi na wewe nani ameomba ajuzwe kuhusu tamko "msingi" na nani alikuwa anabisha kuhusu msingi ? Kijana una matatizo ya akili bila shaka.
 
Jifunze kupinga mambo kwa hoja nilichokiandika hakuna anaye weza kukipinga.

Dini nyingine kunichukulia waonavyo wao hilo siyo tatizo ndiyo maana tunaweka hoja mezani na kujadili ili kuona nani mkweli,haya yalianza tangu zama za mitume.
Kwanini tena uhitaji kiweka hoja mezani kujua nani mkweli ilihali umedai ni uhalisia kila mwenye akili anajua?
 
Mkuu kwa nini usivumilie tu ifike 2025 ukagombee tena? Safari hii Unaweza kubahatika hata kwenye teuzi
 
Naona umeanza kuruka ruka sasa, kati yangu mimi na wewe nani ameomba ajuzwe kuhusu tamko "msingi" na nani alikuwa anabisha kuhusu msingi ? Kijana una matatizo ya akili bila shaka.
Nikikuambia kwamba hata wewe hujui tafsiri ya neno msingi na ndio masna ulipoulizwa hujajibu, utanipinga kwa kipi?

Au nikisema hoja ya kuuliza msingi umeiibua baada ya kushindwa kujibu maswali yangu, utasemaje?

Sijataka kuweka mjadala usio na maana kwa kuanza kubishana tafsiri ya neno msingi nimekuacha ufanye wewe ili tutumie tafsiri yako hiyo hiyo unayoitaka wewe ili urejee kwenye maswali yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…