Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Tunarudi pale paleSijawahi kupingana na uhalisia sababu akili yangu imesalimika.
Na mimi nikisema akili yangu imesalimika na ndio maana nasema mungu hayupo, utakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunarudi pale paleSijawahi kupingana na uhalisia sababu akili yangu imesalimika.
ndo nilikotoka, kuna nini kipya?Rejea huko nyuma.
hiyo biblia unaiongelea hvyo kwasababu umezaliwa kwe familia ya kikristu ila km ungezaliwa saudi arabia leo hii ungekuwa muislamu na wala usingeichukulia biblia km unavyoichukulia sasa, lkn pia km ungezaliwa north korea ungekuwa unaamin iman nyngne kabisa kwa ile miungu yao ile na si hizi habari za mungu wa mbinguni, kimsingi km wazungu na waarabu wasingefika huku tungeendelea kuwa na tamaduni zetu na imani zetu za kiloko za mizimu n.k dini
Naona umefanya unachonituhumu nimefanya, hata hivyo tuendelee kwenye uthibitisho bila kunukuu Bibilia.maneno meengi jombi Thibitisha kama huyo Mungu wenu yupo acha kutuaminisha kitu ambacho hata Wewe huna uthibitisho Bali hisia zako tu zinakuongoza uamini kipo,
Unapomthibitisha huyo Mungu hatutaki utuletee Quotes za kitabu Cha hekaya za kiyahudi kiyunani na kiarabu Ili kutuaminisha Lete ushahidi proved wa huyo Mungu sio hearsay!
Wewe unayeijua umeshindwa kuweka hata mstari mmoja kuthibitisha madai yako kuwa Biblia inasema kuwa ukoma chanzo chake ni laana?
Lete mstari acha porojo. Vinginevyo kubali tu umesema uongo Shetani mdogo!
Biblia huwa inazungumza kwa lugha yake mfano ukisikia kikombe katika biblia maana yake nyingine kifo na popote utakapoona neno au kukisikia pigo katika biblia maana yake ni mateso au maangamizo au laana
Ukisoma vizuri katika biblia pigo la ukoma limeandikwa zaidi katika milango kama miwili kitabu cha walawi 13:9 na kumbukumbu la torati 24:8 kupitia taasisi ya international biblical association
"Pigo la ukoma litakapokuwa kwa mtu ndipo ataletwa kwa kuhani"walawi 13:9 na "Angalia katika pigo la ukoma" kumbukumbu la torati 24:8
Hivyo kwa watu wa zamani kupitia Yehovah wa biblia mtu akipata ukoma wanampeleka kwa kuhani amuombee wanajua ukoma ni pigo au laana ya mungu hivyo kuhani atamuombea kwa siku saba ili awe msafi "Mwenyezimungu akawaambia Musa na Aron iwapo mtu yoyote atakuwa na uvimbe au upele kipako mwilini mwake ikadhirihika ni ukoma basi ataletwa kwa kuhani" walawi 13:1
Na kuhani atakumuombea kwa siku saba akimkagua akiona ukoma umepona ataema mtu huyo msafi "Kuhani atamkagua mtu huyo tena siku ya saba na katika uchunguzi wake akiona mtu huyo ugonjwa umefifia atasema msafi"walawi 13:6
Hivyo kwa mujibu wa yehovah ukoma ni laana au pigo ndio maana ukipata ukoma watu wa biblia watakutenga kwakuwa una laana na najisi watakupeleka kwa kuhani je kweli ukoma unasababishwa na laana ya mungu mbona Leo watu wakipata ukoma hawapelekwi kwa kuhani ?
Na akaenda mbali zaidi yehova akaendelea kudanganya watu kupitia biblia kuwa ugonjwa wa tauni na Kifua kikuu pia ni laana na pigo lake hivyo watu wa zamani wa biblia wakiugua kifua kikuu au tauni wanajua ni pigo na laana ya yehova
Kumbukumbu la torati 28:15
"Lakini itakuwa usopotaka kuisikiza sauti ya Bwana,Mungu wako usiyaangalie kuyafanya maagizo yake yote na amri zake nikuagizapo hivi leo ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata"
Kumbukumbu la taurati 28:21-22
"Bwana atakupa laana ya tauni hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiao na kuimiliki" kumbukumbu la torati 28:21
"Bwana atakupiga kwa kifua kikuu,na kwa homa ......................." kumbukumbu la torati 28:22
Hivyo kupitia hayo maandiko hapo juu usipofata maagizo ya Yehova mungu huyo atakupa laana nyingi na katika laana hizo utapata laana ya kuugua ugonjwa wa tauni(plague) na kifua kikuu (tuberculosis) hivyo watu wa zamani waliaamini ukkumwa leprosy(ukoma ) na TB(kifua kikuu) na plugue (tauni) basi ujue utakuwa na laana ya mungu kama inavyosema biblia kupitia Yehovah katika kumbukumbu la torati
Je ni kweli ugonjwa wa tauni na TB na ukoma ni laana ya mungu au unasababishwa na bacteria ? Je huyu Yehovah anajua kweli ni mungu au ni wakutungwa na kwakuwa watu wa zamani walikuwa hawana elimu yoyote ya sayansi ndio maana waliamini hayo?
Kweli kabisa ndio maana ukisoma historia vzr pathology iliweza kuelezea hili jambo vzrDuuuuhhh, akiendelea kupinga basi ana tatizo.
Ukoma laana
TB laana
Tauni laana.
Kipindi hicho matabibu wao hawakuweza kutibu kwakuwa elimu yao ilikuwa finyu.
Sasa matabibu wameweza kuyadhibiti hayo magonjwa
Uwepo Wangu Mimi hautegemei Uwepo wa huyo Mungu wenu na Wala haijawahi na haitakuja kutokea nikawa na ushirika na kitu ambacho hakipo katika uhalisia!Naona umefanya unachonituhumu nimefanya, hata hivyo tuendelee kwenye uthibitisho bila kunukuu Bibilia.
Moja ya uthibitisho wa bila shaka wa uwepo wa Mungu ni: uwepo wako wewe.
vyovyote vile but point yangu ni kuwa kuamin kwako kuhusu Mungu ni kwakuwa umezaliwa kwe jamii ya wanaoamin hvyo au kusoma habari zake na km si hayo mambo mawili usingejua chochote kuhusu yy coz hamna ila km si kweli basi tuambie ni namna gan ungefaham kuhusu yy,Nashukuru haikua hivyo,
hata hivyo siwezi jua na kusema kwa uhakika (kama usemavyo) ufahamu wangu kuhusu Mungu ungekuaje kama ingekua hivyo ( moja ya hayo mengine). LAKINI kwakuwa sasa nipo hapa, tuendelee kujadili mada. Na hata ukitaka tujadili bila kunukuu Bibilia, ni sawa.
km kila kitu kina muumba je yy mungu aliumbwa na nan? kuokujua hvyo vitu vilikujaje haimaanishi mungu yupo ni vema ukajifunza vilikujaje maana elimu ipo mtandaoni, ni sawa na enzi hizo walipoamini magonjwa yantokn na hasira ya mungu so wakawa busy kutoa sadaka ila leo hii amna anayeamin kuwa malaria chanzo chake ni gadhabu ya mungu, mtu akiumwa anajua nn cha kufny,kimsing mungu anatokea tu pale ambapo kuna jambo halina explanation but watu wakishalielewa hutosikia mtu anasema chanzo ni munguKuamn hakuna mungu wala hakuna pepo na moto ni dalil thnkn capacity yko mzee ndog au unafkir juu juu sana km hakuna mungu mbingu ardh bahar na wanaadam vyt vlitokan na nn kadharka jua na mwez vltokea tu??
walikua na elimu kuhusu mazingira yao na vile wanavyoviona km vile dunia jua nyota na mwezi ndio maana ht maandiko yao yametaja sn vitu hivyo, ila km wangekuwa wanajua kuhusu jupiter venus basi leo hii ungekuta vitabu vyetu vimeelezea jinsi mungu alivyoumba dunia jupiter mars na kwann huko amna watu, ht hawa manabii wetu wa siku hizi km wangezaliwa enzi hizo basi leo hii tungkuwa tunawasoma kwe biblia km watakatifuBiblia huwa inazungumza kwa lugha yake mfano ukisikia kikombe katika biblia maana yake nyingine kifo na popote utakapoona neno au kukisikia pigo katika biblia maana yake ni mateso au maangamizo au laana
Ukisoma vizuri katika biblia pigo la ukoma limeandikwa zaidi katika milango kama miwili kitabu cha walawi 13:9 na kumbukumbu la torati 24:8 kupitia taasisi ya international biblical association
"Pigo la ukoma litakapokuwa kwa mtu ndipo ataletwa kwa kuhani"walawi 13:9 na "Angalia katika pigo la ukoma" kumbukumbu la torati 24:8
Hivyo kwa watu wa zamani kupitia Yehovah wa biblia mtu akipata ukoma wanampeleka kwa kuhani amuombee wanajua ukoma ni pigo au laana ya mungu hivyo kuhani atamuombea kwa siku saba ili awe msafi "Mwenyezimungu akawaambia Musa na Aron iwapo mtu yoyote atakuwa na uvimbe au upele kipako mwilini mwake ikadhirihika ni ukoma basi ataletwa kwa kuhani" walawi 13:1
Na kuhani atakumuombea kwa siku saba akimkagua akiona ukoma umepona ataema mtu huyo msafi "Kuhani atamkagua mtu huyo tena siku ya saba na katika uchunguzi wake akiona mtu huyo ugonjwa umefifia atasema msafi"walawi 13:6
Hivyo kwa mujibu wa yehovah ukoma ni laana au pigo ndio maana ukipata ukoma watu wa biblia watakutenga kwakuwa una laana na najisi watakupeleka kwa kuhani je kweli ukoma unasababishwa na laana ya mungu mbona Leo watu wakipata ukoma hawapelekwi kwa kuhani ?
Na akaenda mbali zaidi yehova akaendelea kudanganya watu kupitia biblia kuwa ugonjwa wa tauni na Kifua kikuu pia ni laana na pigo lake hivyo watu wa zamani wa biblia wakiugua kifua kikuu au tauni wanajua ni pigo na laana ya yehova
Kumbukumbu la torati 28:15
"Lakini itakuwa usopotaka kuisikiza sauti ya Bwana,Mungu wako usiyaangalie kuyafanya maagizo yake yote na amri zake nikuagizapo hivi leo ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata"
Kumbukumbu la taurati 28:21-22
"Bwana atakupa laana ya tauni hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiao na kuimiliki" kumbukumbu la torati 28:21
"Bwana atakupiga kwa kifua kikuu,na kwa homa ......................." kumbukumbu la torati 28:22
Hivyo kupitia hayo maandiko hapo juu usipofata maagizo ya Yehova mungu huyo atakupa laana nyingi na katika laana hizo utapata laana ya kuugua ugonjwa wa tauni(plague) na kifua kikuu (tuberculosis) hivyo watu wa zamani waliaamini ukkumwa leprosy(ukoma ) na TB(kifua kikuu) na plugue (tauni) basi ujue utakuwa na laana ya mungu kama inavyosema biblia kupitia Yehovah katika kumbukumbu la torati
Je ni kweli ugonjwa wa tauni na TB na ukoma ni laana ya mungu au unasababishwa na bacteria ? Je huyu Yehovah anajua kweli ni mungu au ni wakutungwa na kwakuwa watu wa zamani walikuwa hawana elimu yoyote ya sayansi ndio maana waliamini hayo?
Kwa hiyo ndio waongopee jamii kuwa ukoma na TB na tauni ni laana ya mungu kama jambo hulijui si unasema sijui mbona hata Leo watu wa Leo hatujui vitu vingi na tunakubali na kusema hatujui katika medicine neno idiopathic ni common sanawalikua na elimu kuhusu mazingira yao na vile wanavyoviona km vile dunia jua nyota na mwezi ndio maana ht maandiko yao yametaja sn vitu hivyo, ila km wangekuwa wanajua kuhusu jupiter venus basi leo hii ungekuta vitabu vyetu vimeelezea jinsi mungu alivyoumba dunia jupiter mars na kwann huko amna watu, ht hawa manabii wetu wa siku hizi km wangezaliwa enzi hizo basi leo hii tungkuwa tunawasoma kwe biblia km watakatifu
Kuwa na uhakika ni kutokuwa na shaka.Ukisema una uhakika unakuwa una maanisha "uthibitisho" au una tafsiri nyingine ya uhakika inayokinzana na neno hilo nililo suggest hapo?
Mbona unapambanisha sayansi na dini mkuu? Dini haifanyi kazi ambazo sayansi inajihusisha nazo na wala sayansi haifanyi kazi inazojihuaisha na dini.Naona wafia dini mnapambana vilivyo..sijui mshindi atakua nani..ila mimi naona sayansi imetoa majibu mengi kwa matatizo ya wanadamu kuliko dini..kwa upande mwingine dini ndio imeua na kutesa mamilion ya watu duniani..na imeleta utengano katika jamii.
#MaendeleoHayanaChama
Ila hizo imani za mizimu si bado zipo au siku hizi hamna tena? Maana waganga bado wapo hadi leo na watu wanaenda sasa imani za mizimu zilifeli wapi?hiyo biblia unaiongelea hvyo kwasababu umezaliwa kwe familia ya kikristu ila km ungezaliwa saudi arabia leo hii ungekuwa muislamu na wala usingeichukulia biblia km unavyoichukulia sasa, lkn pia km ungezaliwa north korea ungekuwa unaamin iman nyngne kabisa kwa ile miungu yao ile na si hizi habari za mungu wa mbinguni, kimsingi km wazungu na waarabu wasingefika huku tungeendelea kuwa na tamaduni zetu na imani zetu za kiloko za mizimu n.k dini