Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Nimekunote sehem hapo unasema NATURE ndio inatawala? Unaweza kutuambia hiyo nature ninini? tuanzie hapo
Hao wanasayansi walioanzisha neno nature na jinsi inavyofanya kazi watu wa dini mliwaua sana baada ya kuwashinda kwa hoja, lakini ndio wanaotengeneza simu na kutumia mawimbi kurusha mawasiliano sasa unakomenti kwa raha zako, home umeweka tv ya mwanasayansi ambaye kazi yake inathibitika kila leo
 
Hujajibu swali nililo kuuliza Hii NATURE unayo zungumzia hapa ninini?
 
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Kiranga , ningepnda kusoma comment yako pia katika hili.
 
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.
Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.
Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.
Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.
Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.
Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.
Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
Kwako wewe uthibitisho ili uwe uthibitisho unatakiwa ukidhi vigezo gani ?
 
Hadidhi zote zinazohusu umungu ni hadidhi kama zilivyo hadidhi zingine soma ukiwa unahitaji maarifa furani lakin sio kukufunga
Mungu yupo tafadhali hafananishi.Pia ni mwenye wivu kamwe hafananishwi.Kamwe usiseme lugha chafu kwake.Tubu sasa
Hadidhi zote zinazohusu umungu ni hadidhi kama zilivyo hadidhi zingine soma ukiwa unahitaji maarifa furani lakin
 
Back
Top Bottom