Nimefuta Biblia kwenye simu yangu


Ana mawazo finyu
 
Watu mnaleta vitisho tu hata kuku ukimchinja anapata maumuvi yatokanayo na umauti na siyo kwamba ni maumivu yatokanayo na kutokumjua Mungu.
 
Mkuu embu tuweke pembeni Biblia na Quran na vitabu vyote vya kiimani. Twende kwa kutumia uelewa tu. Linapozungumzwa neno Mungu je wewe unaelewaje? Je kwa mujibu wako je ulimwengu na vilivyomo ulimwenguni vimetokeaje?
 
Umezungumzia kuhusu Sweden. Waswidi wana kiwango cha juu cha takwimu za watu wanaojiua na ndoa kuvunjika. Serikali ya Sweden inafanya juu chini kuimarisha huduma za ustawi wa jamii na imeonekana kusaidia.
Kita kichongia Sweden kuwa na takwimu za juu kiasi hiki ni huo upagani ambao unapinga watu watu kuishi katika jumuiya.

Dini huunganisha watu katika jumuoya ndogo ndogo na kuleta mshikamano wa kijamii.Angalia pia nchini ambazo zina very low suicide rates kama Syria na Philipines.Hizi ni ni nchi ambaza watu wake ni wacha Mungu.

Mwisho atatafiti mbali mbali zimezihirisha pasipo na mashaka wapagani wengi wapo katika hatari ya kupata shinikizo la juu la damu na kuwa walevi na wavuta sigara kuliko wacha Mungu kitu ambacho kinaweza kuzorotesha afya zao

HITIMISHO: UPAGANI hauna tija kwa maisha ya mwanadamu na ni TAKATATA kwa sababu ya kuhamasisha solitary life ( maisha ya kipeke yako peke yako).
 
Bongo ndoa hazivunjiki sana kwa sababu karibia nusu ya watu wake wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja na nusu nyingine japo wanatakiwa kuwa na mke mmoja wengi wao wana michepuko/hawara/vimada na wake zao wanajua ila wako tayari kuvumilia. Wanawake wa Sweden hawawezi kukubali hayo kabisa.
 
Nimeoanisha upagani sugu wa Swden ambao wewe umeukiri na mmomonyoko wa maadili unaopelekea ndoa kuvunjika na watu wengi kujiua kwa kujinyonga mpaka kufa ( kuishi maisha yasiyo na furaha na amani).

Je umekubaliana na mimi kuwa UPAGANI ni TAKATAKA?😳
 
ukijiuliza tu hivi betri liko wapi na anayelichomoa ni nani? basi lazima ujue dunia ina mwenyewe...
 
Amini tu kuwa Mungu yupo, haitakugharimu chochote.

Ukifika huko ukakuta hayupo it's okay.
Hivi mbona huwa watu mnashindwa ku reason? Kwanini umwambie mtu aamini jambo ambalo halipo kisa hofu tu?

Eti ukifika huko ukakuta hayupo it's okay? Ukifika wapi? Nani alikuambieni kuwa ukifa kuna mahali utaenda?

Mkuu mleta mada mimi nakupongeza kwa kujitambua.

Welcome to the Enlightened Club.
 
Wewe una matatizo ya akili bila shaka haupo sawa, yaani maisha yakushinde uchukie din??!!πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ pambana na maisha yako binafsi wewe usisingizie din pumbavuu
 
MUNGU HAYUPO ILA WEWE UPO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
KAMA MUNGU HAYUPO BASI NA WEWE HAUPO
 
Akiwepo bado nitamkaba na maswali ila 99.99% hayupo
 
Walio Anza kudai MUNGU yupo hawakua na din,i
na pili niambie chanzo Cha uhai
Sawa hakuwa na dini ila nachouliza kipi kinakufanya ukubali kuwa walichokisema ni kweli kwamba kuna Mungu na si uongo tu kama ilivyo kwa dini?
 
Umefanya Jambo la maana Sana , Actually ilikuwa umechelewa kuchukua hayo maamuzi. Karibu katika mwanga mkuu
 
akina fidel castro,mobutu seseko waliaamini hivyo pia ila mwishoni walikiri Mwenyezi Mungu yupo n
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…