Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo minyoo ya njaa imekupanda kichwanKwako uwepo wa Mungu ni faida kwasababu inakupatia tumaini la kinafki
Pale ambapo mambo yako yameenda vibaya na hutaki kuikubali hali hiyo basi ndio unatumia dhana ya mungu kama comfort kua yeye ndio kapanga si ndio?
Hakuna sababu nyingine shawishi yenye kufanya ukubali Mungu yupo zaidi ya hiyo?
Huko kutomuona ndio kipimo cha hiyo imani ya uwepo wa Mungu, maana lengo ni kuamini hivyo huwezi kusema et unaamini jua limechomoza kwa sababu umetoka nje saa 7 mchana unaliona.Mwendawazimu huamini Kuna Mungu na hajawahi kumuona!
Milembe 255
Huyo huyo unaye amua ww kumu amin ..Kuna maelfu ya miungu
Unaposema ni bora uamini yupo, una maanisha Mungu gani?
Ukiambiwa uyo yesu Ni pepo chafu utakubali??Kwa mamlaka ya Yesu natamka nguvu ikushikie.Na utakuwa MTU wa kwanza Ulipo kuona Ukuu wa Mungu.Tubu Leo mambo yako yote yatakuwa sawa futa kauli chafu
Napinga
Kichaa hata ukimuaminisha kwa ushahidi hawezi kuaminiMwendawazimu huamini Kuna Mungu na hajawahi kumuona!
Milembe 255
MUNGU wa kweli haonekani . Labda MUNGU wa Musa na aruni na nabii mikaya ndioe alie onekana.hapo mtamlaumu bure mtoa mada vitu vingine mpaka ujione mwenyewe ndo utapata uthibitisho wake Kwaiyo mtoa mada anaitaji amuone Mungu bila story za watu wengi ndo ata amini bila ivyo tutakesha hapa kwamba amini kitu chenye ajawai kukiona.
Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.
Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.
Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.
Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.
Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.
Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.
Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
Umefeli ndugu.jifunze kusoma bibiliaKwa mimi naamini mungu yupo ila naanza kupata mashaka yaweza kuwa tumepigwa mwingi
Ni mafundisho marefu, lakini ujue kwamba yeye nipepo mkubwa Tena Lina umbo la mnyama kondoo , kwa kifupi yeye ndo azazeli.Yesu hawezi kuwa pepo
Anza kumuamini Mungu vifungo vyote vitafungukaHadidhi zote zinazohusu umungu ni hadidhi kama zilivyo hadidhi zingine soma ukiwa unahitaji maarifa furani lakin sio kukufunga
E Yesu ntamtaka kwa mamlaka yako na nguvu zako shusha juu ya MTU huyu Leo.Atambue uwepo wako na umponyeNi mafundisho marefu, lakini ujue kwamba yeye nipepo mkubwa Tena Lina umbo la mnyama kondoo , kwa kifupi yeye ndo azazeli.
Na wachawi je hawapo?! Ipo siku utatambua uwepo wake, na utakiri bila shuruti.Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu.
Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo.
Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu.
Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi wa Mungu.
Waislamu kwa kitabu chao watakuthibutishia uwepo wake, Wahindu, Wabudha, Waktisto n.k watakuthibutishia uwepo wa Mungu kwa maandiko na hadithi tu ila hawataweza kukuthibitishia kwa njia nyingine ya reality.
Kwa taabu wanazopata watu duniani ni kama nature ndio inatawala.
Haiwezekani Mungu ambaye wanasema aliupenda ulimwengu aruhusu vita, ubakaji, kuchinjana, kudhulumiana, ufukara, njaa n.k huku hivyo vitu ni vidogo kwake angevikomesha ndani ya sekunde.
Je, Mungu kazidiwa utu na upendo na mwanadamu?
Hii amani na hali ya maendeleo tunayoiona ni fikra na utu wa binadamu kwa ulimwengu.
Binadamu anaunda mabaraza ya kitaifa kupambana na majanga mbalimbali, pasipo na haya mabaraza Dunia isingekalika kabisa kwa idadi hii ya watu ilivyo kwa sasa.
Illusion ndizo zinatawala watu ndio maana kila dini na dhehebu wanajiona kuwa wako sahihi na wana ushahidi kuwa dhehebu lao ndilo sahihi mbele za Mungu na wao tu ndio wataingia mbinguni au peponi.
Asante
Pia uwepo wa Mungu hauna athari hasi kwa maisha ya mwanadamu.Sijaona faida ya upagani.Dini huwafanya wanadamu waishi kwa pamoja kwa amani kwa kusaidiana.Upagani shabaha yake ni watu wasiishi kama jumuiya.Katika maisha ya mwanadamu hakuna kitu chema kama kuishi katika jumuiya.
Uliza wapagani huwa wanakutana kujadili kutokuwepo mungu na kushirikiana kijamii? Utaambiwa sisi hatuna makanisa ila huwa tunakutana mitandaoni kumpinga Mungu🙂
Kwa uelewa wangu mdogo ni bora ya FREEMASON kuliko upagani.Yaani upagani ni TAKATAKA