Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

 
Wangapi wanajua kuzini ni dhambi tena kubwa ya kwenda kuchomwa moto ila bado wanafanya uzinifu lakini wanaogopa kuiba kwa sababu kuna jela?
 
Uwez kuwa mkristo uliye kamilika ukafuta na kudharau kitabu takatifu

Sioni sababu kuleta hoja huku kujadili maswal ya kiroh na kudhiaki kitabu kitakatifu
 
Mkuu umetoa hitimisho ya kutokuwepo kwa Mungu kisa tu umeona vitabu vya kiimani zimeandikwa kwa mikono ya watu na pia vinasema uongo. Je nje ya hivyo vitabu ulishatumia akili na utashi wako kutafakari kwa kina juu ya chanzo cha ulimwengu na vilivyomo ulimwenguni?
 
Bora ungekaa kimya tu umezua kisanga
 

Kuna application Kwenye simu hutumii Na hujafuta, Na hata hivyo ulikuwa usomi, Hakuna unayemkomoa, you simply stupid....
 
E Yesu ntamtaka kwa mamlaka yako na nguvu zako shusha juu ya MTU huyu Leo.Atambue uwepo wako na umponye
Mkuu mungu alazimishi mtu kumjuwa Wala kumtambua Yuko au hayuko matendo yake makuu Ni kidhibitisho tosha kuwa mleta mada atakuja kutambua ukuu wake ipo siku atakuja kuleta uzi hap kudhibitisha
 
akina fidel castro,mobutu seseko waliaamini hivyo pia ila mwishoni walikiri Mwenyezi Mungu yupo n
Fidel Castro alikuwa ni Mkatoliki mzuri tu, mobutu seseko alikuwa anaamini dini za asili.
 
Kwa uhakika Mungu yupo ila binadamu ndo washapotea kitamboo

Tafakari juu ya maneno yaliyoandikwa kwa vitabu vitakatifu na si vitendo vya wawakilishi ama watumishi wa neno la Mungu
 
Binaadamu wote wanaamini Mungu mmoja ili kuweka amani.
 
Athari hasi huzioni au umejitia upofu kimakusudi?


Vita vya kidini (holy war) zinapiganwa na zimepewa kibali na vitabu vinavyodaiwa kua ni vya Mungu, kwako unaona hiyo ni positive?

Kupitia Mungu watu wanajitoa mhanga na kusababishia hadi watu wasio husika na dini yake kufa bila sababu ya msingi

King leopold wa pili huko congo aliuwa mamilion ya watu kupitia vifungu vya biblia, bado hujaona negative impact ya habari za Mungu?
 
We m
Leo ndo umetoka usingizini wenzio tulishashtuka toka tukiwa darasa la nn B, hakuna dini ya kweli wala hakuna mungu hizo ni njia za kiupigaji kidiplomasia.
 
Fidel Castro alikuwa ni Mkatoliki mzuri tu, mobutu seseko alikuwa anaamini dini za asili.
wote hao walisoma seminary wakatimuliwa fatilia historia zao utagundua kwanini walikuja kukataa mambo ya Mungu,na baadae wakamrudia
 
Nakusikitikia kijana
 
Huku kunaitwa kupatwa kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…