Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Jehovah na Allah ni masanamu tu ya kubuniwa hawana uwezo wowote hawana uwezo kufanya jambo lolote walitungwa tu watu wa zamani hayo ni masanamu Yehovah huyu si ndiio mungu alisema ukoma ni laana yaan hajui ukoma unasababishwa na nini leo watu wakipata ukoma wanaenda hispitali yaan yehovah anazidiwa na watu wa afya na huyo allah hajui hata bindamu anazaliwaje halafu ndio unasema eti yehovah au allha ndio waliumba ulimwengu wakati hawajui hizo sheria za ulimwengu zinafanyaje kaziPole sana. Inaonekana unatamani sana ku justify uamuzi wako. Unajua kuwa ulifanya uamuzi feki ndio maana unatumia nguvu nyingi sana kujaribu kuonyesha kwa nini uko rational.
Umeandika ujinga mtupu jambo linaloonyesha haukuacha kuamini kwa sababu ya ushahidi fulani ila uliamua na hivi ni visingizio vya kujiridhisha nafsi.
Kiufupi Jehovah sio Allah na kwa hiyo kila ulichoandika baada ya hapo ni ujinga kama ujinga mwingine!
Kiufupi allah na yehovah hawana elimu yoyote hawana jipya katika ulimwengu wa huu