Nimegoma Kuwa Mnyonge Mbele ya Polisi

Nimegoma Kuwa Mnyonge Mbele ya Polisi

Hii ni typical police state, traffic officer hana uwezo wa kuchukua chochote kutoka kwako, iwe driving license or gari unless kuna tatizo la uhalali wa license au gari ,yaani nchi hii inakatisha tamaa ya kuishi, ninaota hapa hivi itakuaje Botswana 🇧🇼 police waje Tanzania even for 7days wafanye kazi hapa na wa kwetu waende Botswana!,Amina usiamini tutaomba hawa wa Botswana wafanye kazi milele hapa, Botswana cops na wanajeshi wao wapo very smart
 
Nawasalimu! Tarehe 25/7/2022 nikiwa mizungukoni nilisimamishwa na Askari wa usalama barabarani wakaniomba leseni nikatoa kisha wakaikagua gari na kubaini sina dosari kisha nikaruhusiwa kuendelea na safari zangu...
Huyo kajikaza tuu hana lolote la kukufanya, labda kama atakufanyia nje ya makosa ya barabarani labda bar hivi. Ukimkuta peke yake mgonge na gari afe.
 
Nawasalimu! Tarehe 25/7/2022 nikiwa mizungukoni nilisimamishwa na Askari wa usalama barabarani wakaniomba leseni nikatoa kisha wakaikagua gari na kubaini sina dosari kisha nikaruhusiwa kuendelea na safari zangu...

Mkuu pambana ndivyo hivyo ulichagua kumaliza hilo jambo,wenzako wakiona kelele nyingi wanachana wallet,kama hela hamna unawasikiliza tu.

Huyo RTO mwenyewe kakujibu kisiasa,bila kujali wewe ndiye unakutana nao kila siku yeye akiwa ofisini tu hajui chochote.

Sasa kama una akili kubwa mfate huyo askari mpange awe mshkaji,sio kwa sababu wewe ni dhaifu sana,ila ni kwa sababu hujui kesho utakutwa na janga gani road hiyo na wa kukusaidia atakuwa nani.

Ukiona ni umama endelea kukaza tu.
 
Sheria hiyo haipo wala kumpa Driving licence muda huo huo sheria haipo labda awe na cheo cha ASP yani Mrakibu msaidizi wa polisi
Nijuavyo ni hivyo,na kuna tukio lilinitokea miaka kama 10 iliyopita,nilipata ujasiri flan baada ya askari wenyewe kuonyesha woga fulan basi nikatumia hiyo chance kujilipua japi sikujua mwisho itakua nini,maana nilijilipua sehemu hiyo huku hata nikiwa sijui nitapataje msaada ila nilifanikiwa,demand ya jamaa ilikua niwape elfu 80 au wanipeleke kituoni,kwa nilifanya kosa kweli nilikua tayari kuwapa elfu 20 ila wakakataa,mwishoni awakuambulia hata hata sumni
 
Nawasalimu! Tarehe 25/7/2022 nikiwa mizungukoni nilisimamishwa na Askari wa usalama barabarani wakaniomba leseni nikatoa kisha wakaikagua gari na kubaini sina dosari kisha nikaruhusiwa kuendelea na safari zangu...
Chai. Na mbaya zaidi hujaweka maziwa! Mwanzo wa simulizi yako umepatia kabisa kuelezea tabia za polisi wa Tanzania zilivyo.

Ila sasa mwishoni umeharibu, umeelezea kama ulikuwa una deal na polisi wa Ulaya. Halafu nikufundishe siku tukio kama hili likitokea.

Usijitetee kuwa walikagua jana wakasema hakuna shida. Kwani haiwezi kuwa umebadili tairi baada ya kukaguliwa? Au aliyekagua kwa bahati mbaya hakuona?
 
Dullah Mwamwindi
Kangi Lugola kipindi akiwa waziri mambo ya ndani alikua hapendi ujinga wa hawa Wakuda alikua anawachana live hasa tabia ya kurusha JINI yani una-over speed Mlandizi picha inatumwa Chalinze.

Dawa nyingine ya hawa Wakuda wakikusimamisha ukuijua huna kosa tembea usisimame ndomana Kinana kawatoa nishai wana njaa kali sana.
 
Hii ni typical police state, traffic officer hana uwezo wa kuchukua chochote kutoka kwako, iwe driving license or gari unless kuna tatizo la uhalali wa license au gari ,yaani nchi hii inakatisha tamaa ya kuishi, ninaota hapa hivi itakuaje Botswana 🇧🇼 police waje Tanzania even for 7days wafanye kazi hapa na wa kwetu waende Botswana!,Amina usiamini tutaomba hawa wa Botswana wafanye kazi milele hapa, Botswana cops na wanajeshi wao wapo very smart
Unadhani hapa kwetu polisi wazuri hamna,ila wabaya wachache wanafanya polisi wote waonekane ovyo,lakini wazuri wapo wengi tu
 
Unadhani hapa kwetu polisi wazuri hamna,ila wabaya wachache wanafanya polisi wote waonekane ovyo,lakini wazuri wapo wengi tu
Thanks mkuu kwa taarifa hii, honestly usinielewe vibaya, nitajie road blocks or check points yeyote katika T1 yote ambayo iko na traffic officer's wanaotekeleza majukumu yao vema nitashukuru mno,maana nitakwenda mwenyewe na kuwapa high five
 
Back
Top Bottom