Nimegonganisha mabwana kanisani, nimetoka mzima, wanaume watu wa ajabu sana

Labda atupatie majibu Money Penny huu ni muda wako wa kuhudumia ndoa? Au muda wa kutupatia simulizi wana JF.
 
Mume mwenzangu kashalala?
Maana mjukuu wa kiume ni Mume ujue🤣🤣🤣
 
Hata wazee tunazipenda , zinatusaidia kuvuta hisia kabla ya . . .
 
Udipoolewa unaanza kumsumbua mwamposa,shubamiti
 
Huu ni uongo bwana
 
Sasa kama wamekuona unaringa sana unataka waendelee kukutafuta wewe kama nani, wanawake wapo wengi kuliko wanaume
 
Na sisi tunachagua tunaempenda
Katika watakufuata si ndio?

Ninachomaanisha ni kwamba wanawake hamna uwanja mpana wa kuchagua kama wanaume mna limit katika hilo yaani kwamba wewe hadi ufuatwe then ndo uchague wa kumkubali katika watakuokufuata tofauti na mwanaume ambae yeye uwanja wa uchaguzi wa yupi amfuate ni mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…