Nimegonganisha mabwana kanisani, nimetoka mzima, wanaume watu wa ajabu sana

kuwa Mwanaume Raha Sanaa unachagua Unayemtaka weee kazi Yako kubwa Kutafuta pesa na Nguvu za kiume tu. Wanawake Wao anakwenda na Muda atachugua chagua Mabraza Men Mwisho Wa Siku Anadondoka Kwa Yeyote hapo ndio Unasikia Wanaume Wote Mmbwa
 
Wanaojifanya kuchagua wajinga sana na wengi wanaangalia eti uhandsome angalia tabia ya mtu na akili tu
kuwa Mwanaume Raha Sanaa unachagua Unayemtaka weee kazi Yako kubwa Kutafuta pesa na Nguvu za kiume tu. Wanawake Wao anakwenda na Muda atachugua chagua Mabraza Men Mwisho Wa Siku Anadondoka Kwa Yeyote hapo ndio Unasikia Wanaume Wote Mmbwa
 
Sasa kama wamekuona unaringa sana unataka waendelee kukutafuta wewe kama nani, wanawake wapo wengi kuliko wanaume
Sahivi wanaume mko wengi kuliko wanawake
Kupata mwanamke wa maana sahivi ngumu na ndio wanatafuwa
 
Sio kweli
 
kuwa Mwanaume Raha Sanaa unachagua Unayemtaka weee kazi Yako kubwa Kutafuta pesa na Nguvu za kiume tu. Wanawake Wao anakwenda na Muda atachugua chagua Mabraza Men Mwisho Wa Siku Anadondoka Kwa Yeyote hapo ndio Unasikia Wanaume Wote Mmbwa
Skuhizi wadada wana hela kuliko wanaume ujue
 
Majamaa ukute yashakua marafiki yanapeana na madili ya maokoto na weekend yanalewa pamoja huku yanakuongelea halafu yanacheka kinyama kila yakikukumbuka
 
Yaan mpaka umri huu hajui kama wanaume wanataka uchi
Mpaka umrii alionao hajui kuwa wanaume wanataka uchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…