Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Simulizi tu hiyo haina ukweli na maisha yake halisi.Yaani anavyoringa anaonekana tu hafai hata kuolewa atakuwa na dharau na kiburi huyo
š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simulizi tu hiyo haina ukweli na maisha yake halisi.Yaani anavyoringa anaonekana tu hafai hata kuolewa atakuwa na dharau na kiburi huyo
Ni kweliSimulizi tu hiyo haina ukweli na maisha yake halisi.
š¤£
kuwa Mwanaume Raha Sanaa unachagua Unayemtaka weee kazi Yako kubwa Kutafuta pesa na Nguvu za kiume tu. Wanawake Wao anakwenda na Muda atachugua chagua Mabraza Men Mwisho Wa Siku Anadondoka Kwa Yeyote hapo ndio Unasikia Wanaume Wote Mmbwa
Unaongelea Marioo au mwanaume?Sio kweli
Kuna waliofumania bado wakaendelea kupenda
Mali gankwan ww hujui kuwa una mali ya watu
Andika vizuri maneno yakoUdipoolewa unaanza kumsumbua mwamposa,shubamiti
Kwanini umekuja sa?Huu ni uongo bwana
Sahivi wanaume mko wengi kuliko wanawakeSasa kama wamekuona unaringa sana unataka waendelee kukutafuta wewe kama nani, wanawake wapo wengi kuliko wanaume
Sawa mtafuteni mpole na mnyenyekevuYaani anavyoringa anaonekana tu hafai hata kuolewa atakuwa na dharau na kiburi huyo
Sio kweliKatika watakufuata si ndio?
Ninachomaanisha ni kwamba wanawake hamna uwanja mpana wa kuchagua kama wanaume mna limit katika hilo yaani kwamba wewe hadi ufuatwe then ndo uchague wa kumkubali katika watakuokufuata tofauti na mwanaume ambae yeye uwanja wa uchaguzi wa yupi amfuate ni mkubwa sana.
Na ndio imekuleta uka commentSimulizi tu hiyo haina ukweli na maisha yake halisi.
š¤£
Skuhizi wadada wana hela kuliko wanaume ujuekuwa Mwanaume Raha Sanaa unachagua Unayemtaka weee kazi Yako kubwa Kutafuta pesa na Nguvu za kiume tu. Wanawake Wao anakwenda na Muda atachugua chagua Mabraza Men Mwisho Wa Siku Anadondoka Kwa Yeyote hapo ndio Unasikia Wanaume Wote Mmbwa
U handsome umepitwa na wakati skuhizi tunaangalia mboo tuWanaojifanya kuchagua wajinga sana na wengi wanaangalia eti uhandsome angalia tabia ya mtu na akili tu
Ingia kwenye ndoa utajuaUnaongelea Marioo au mwanaume?
Kama MARIOOO sawa,
Ila kwa mwanaume haiwezekani kabisaa
š¤£š¤£š¤£š¤£š«¶šæ mi nnalo refuuuu la kimeru. si wajua wameru tunayo marefuU handsome umepitwa na wakati skuhizi tunaangalia mboo tu
Kwa sensa gani hiyo inayosema wanaume tupo wengi kuliko wanawake!??Sahivi wanaume mko wengi kuliko wanawake
Kupata mwanamke wa maana sahivi ngumu na ndio wanatafuwa
Kukutetea lakini bado unanisema ..!Na ndio imekuleta uka comment
Yaan mpaka umri huu hajui kama wanaume wanataka uchiMrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka 55 - Mpenzi A
Mwingine kijana miaka 35 - Mpenzi B
Kati ya hawa wawili wote siwaelewi,
Mwanzo Mpenzi A alinifukizia kwa mapenzi yote, baadae spidi ikaisha akapoa kabisa
Mpenzi B alianza kwa spidi sana, kadri nimemkazia akawa bado anataka tuwe wapenzi
Nikawaza sana ,nifanyaje nikaamua wote nikutane nao, nikalengesha waje kanisani wakaja
Mpenzi B akaja wa kwanza amewahi akaanzq kunitongoza wee, nikaona mpenzi B kama ametumwa na mpenzi A
Baada ya kutongozwa kwa dk 20 mpenzi A akaingia akatukuta tunaongea, mimi bila kupaniki nikamkaribisha mpenzi A nikamtambulisha kwa mpenzi B kuwa nae ananipenda na amekuja kunitongoza
Sasa kaeni hapo mniambie nani nimkubali kati yenu wawili
Wakakaa hapo money penny wananiangalia hawaelewi cha kufanya, baada ya dk 10 za kuduwaa, nikainuka nikaondoka kwenda nyumbani,
Mpaka leo nakuadithia hakuna hata mmoja alienitafuta ni wiki ya 3 sasa
Sielewi wanaume wanataka nini? Wanaume watu wa ajabu sana
Mpaka umrii alionao hajui kuwa wanaume wanataka uchi?Mrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe